Chicago huwezi kuilinganisha na Chengdu. Pengine ungesema Houston, Texas ningekuelewa. Chicago ni miongoni mwa miji mitatu mikubwa ya Marekani New York, Los Angeles na Chicago. Hizi miji mitatu za Marekani ni miongoni mwa miji mikubwa zaidi duniani. Chicago ni bab kubwa. Ila nakubaliana na wewe kuwa miji za China kwa ujumla zina ipiku miji za Marekani kwenye suala la majengo marefu. Kuna video nilitazama youtube inayosema kwamba Marekani ina majengo chini ya mia mbili yenye urefu wa zaidi ya 150 metres. China nayo ina majengo zaidi ya mia tatu yenye majengo yenye urefu zaidi ya 150 metres. Kwa hivyo ukichukua kwa ujumla China ina majengo marefu mengi kushinda USA. Isitoshe mji wenye majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule duniani ni mji wa Shangai. Shangai ina majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule , so china ni mnyama kwenye mambo haya.Mzee wewe ndio upo misinformed, huna research za kutosha kutetea jambo unaling'ang'azia .. for example this is chengdu 👇View attachment 2064241View attachment 2064242View attachment 2064243View attachment 2064244View attachment 2064245View attachment 2064246View attachment 2064250View attachment 2064251View attachment 2064252View attachment 2064253View attachment 2064254View attachment 2064255View attachment 2064257View attachment 2064258View attachment 2064259View attachment 2064261View attachment 2064262hii CHENGDU sio hata miongoni mwa majiji tajiri ya China, it has population of of 10m+ pp, kwa US labda uiweke Chicago mji wa pili kwa kuwa na high rises nyingi the city of 2.7m pp, lakini pia Chicago haiwez toboa kwa CHENGDU. US is no where close to China bro tukizungumza maendeleo .. fatilia mambo bro Ooh, dunia inakuacha lala tu hapo ukiendelea kuwaza eti marekani wapo vizur kuliko China 😂😂😂.. NB: achana na western propaganda mzee
Sasa tuambie, GDP ya TZ ilivyo sasa na ya Kenya kuna ukweli? I mean unaona GDP ya kenya ipo sahihi? na kama ndio je, ya TZ pia ipo sahihi?Ungekuwa Una ufahamu wa kutosha wa suala hili usingeleta picha za majengo na nuclear warheads. GDP ni thamani ya goods and services produced in a country over a year. Jiulize North Korea inazalisha goods na services zipi na ina-export wapi? Na trade partners wa North Korea ni Akina nani? Na foreign investments North Korea ni zipi (if they even exist) then utagundua kuwa uchumi wao ni mdogo sana. Hizi picha hazimaanishi kitu chochote. Ni facade tu! Tafadhali elimika!
2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.Sasa tuambie, GDP ya TZ ilivyo sasa na ya Kenya kuna ukweli? I mean unaona GDP ya kenya ipo sahihi? na kama ndio je, ya TZ pia ipo sahihi?
Kila la heri katika mwaka mpyaWakuu kwa pamoja kabisa nawaombea kila la heri katika kusubiri mwaka mpya wa 2022, tumekuwa pamoja humu kwa muda mrefu japo tunakwaruzana lkn ukweli ni kwamba tumefunguana upeo kwa kiasi kikubwa sana
Ningependa kuwashukuru wote humu uwe Mtz, Mkenya, Mnyarwanda, Mganda, Mburundi n.k mapambano yaendelee mpk tuhakikishe EA ina lead Africa ktk suala zima la development, Mungu awabariki sana.
Cc Emc2 kadoda ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe Mkikuyu- Akili timamu Yule msee Mgagaa na Upwa
babayao255 NDINDA Sama boy 255
game over tuusan Simon Mkwanzania Nicxie NairobiWalker komora096 dyfre Lwiva Tony254 MK254 Don YF noma sana Amari ntazana ntazana Walker255 mwaswast Magix Enga Janerose mzalendo Lusematic Shebby01 Chamoto LightYagami Tz_one eliakeem chongchung Naton Jr Fundi kitasa Ntaghacha Gwakagwaka IamLee Teargas zuwena Undava King WAKUDAMSH nao Edward Wanjala Dotworld asvptx Smartkahn KENPAULITE Coco reborn xng hua nairobae Simba 254 nguvusimba NAWATAFUNA TEMLO DA VINCA dickchiller kikihboy muhogo_kiks Mashashola coodip1 manimac
List inaendelea.
Unaichukulia Kenya poa sana wewe. Ni kweli Gdp yenu inastahili kuwa kubwa zaidi ukizingatia ujenzi unaoendelea huko ikiwemo electric SGR, JNHPP na kadhalika. Pengine nyie ndio mnashindwa kupima Gdp yenu vizuri. Mnastahili kuleta wataalam wawasaidie kupima Gdp yenu vizuri. Lakini sidhani kama Gdp yenu imeishinda ya Kenya.Sasa tuambie, GDP ya TZ ilivyo sasa na ya Kenya kuna ukweli? I mean unaona GDP ya kenya ipo sahihi? na kama ndio je, ya TZ pia ipo sahihi?
Kizungu mingi point zero. If it's not as important as you put it, why has it been adopted by countries the world over?GDP is a whiteman economic illusion from yester years GDP was used by whiteman Bretton Woods institutions to subjugate independent countries economically while forcing them to play to their tunes. You have to understand the transition from administrative colonisation to economic colonisation and tools employed to achieve this transition.
Misaada ikiletwa inaletewa wakenya au wakimbizi kutoka nje?Hapo mnataka misaada tu hamna lolote . Kunyaland mnapenda udalali mpate cha juu
Tuko pamoja rafiki yangu.Kwa sababu ya Mwaka mpya ninatoa block niliyomuwekea rafiki yangu The best 007. The best 007 ninakutakia mwaka mpya ulio na baraka tele. Watanzania na Wakenya walio hapa nawatakia mwaka mpya ulio na baraka na afya tele. Pia tujaribu kudebate kwa ustaarabu na kufundishana mwaka huu bila matusi au kejeli. Kwa mfano huu debate kati ya miji ya Uchina na Marekani ni debate nzuri sana. Tuendelee kudebate mambo kama haya maana yanatufundisha mambo mengi.
Huwez pata view kali kama hii nje ya Nairobi Kenya
Ultra modern state of the art mega bus terminal the only ones in Tanzania itapendeza zaidiUltra Modern Bus stop.




Ukisema hospitable yeye anahani ni hospitali.😂😂😂We host the world's largest refugee camp. Najua maana ya neno hospitable ndio hujui
Hata JNHPP inaanza production this yearBtw mwaka huu ndio tunamalizana na sgr lot 1 n 2...train za umeme...miez 12 haiwez kuisha kinyonge....Pia tutaupata vyema dira ya mh SSH katika budget ijayo ya 2022-2023...mambo ya salary increments ajira mpya nk
Kwahiyo unapendekeza tuchapishe taarifa yenye kuonyesha kuwa GDP imeongezeka kama jirani alivyofanya ama kuwe na true organic growth?2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.
ww ulitaka kama hiii😂😂👇👇👇But these are not main roads. Nyinyi barabara zinazotumika na long distance buses ziko in poor conditions.🚮🚮