Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza haijalishi nchi yetu itayumba kiasi gani, au itakuwa masikini kiasi gani, haijalishi hata kama tutafikia hatua mhaya kabisa yani maji yametukwama kooni, hakuna kuuza nchi kwa mwarabu, mchina wala mtu yoyote. Tanzania itabaki mali ya Mtanzania

Kingine kitu ambacho wengi hawajui, almost 99% ya nyumba mbaya Tanzania zilijengwa zamani sana wakati Tanzania ni masikini kupindukia. Sasahivi nadra kukuta mtu anajenga nyumba mbaya. Almost kila nyumba mpya ni standard au nzuri kabisa, tatizo la Tanzania kwenye ujenzi ni mpangomji, hatujengi kwa mpangilio mzuri

Pia hilo eneo la uwanja wa Arusha wasiruhusu ujenzi holela, kama wana plan ya Safari City kuijenga hapo kwa kufuata Master plan sio mbaya, ila kama hakuna ulazima wapaache tu. Panapendeza sana na uoto wa asili by the way. Wakijaza nyumba hapo uzuri utapungua, labda wawe very strict kuhakikisha wanafuata mpango mji
Nimemjibu kwa sarcasm.


Sote tunapenda maendeleo. Lakini tusilazimishwe mambo ili tuwe na miundombinu ya CAMERA tu na VIDEO.

Lazima tuwe na nchi ya watu.
 
Back
Top Bottom