Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Mombasa KenyaHuwez pata view kali kama hii nje ya Nairobi Kenya
Mombasa KenyaHuwez pata view kali kama hii nje ya Nairobi Kenya
Sasa hyo ni wapi
unakuta kuna wapumbavu wame like..na huu mji pia sio wakitoto hebu chungulia kidogo👇👇👇Happy new year
Chicago city ....View attachment 2064729View attachment 2064731View attachment 2064730
Mh wachina wana balaa aisee, naskia wana mpango wa kujenga kwao miji inayosifika duniani kama Paris, New York, London n.k yani kama kuna Paris France basi pia kuwe na Paris ndani ya China ambayo itafanana vile vile na ile ya France.na huu mji pia sio wakitoto hebu chungulia kidogo
wachina wako mbali sana tena sana na hakuna nchi yoyote duniani inaweza endana na speed ya wachina hakuna kwa sasa hio paris yenyewe ni miji iliojengeka over 150yrs ago lakini china ni nchi imeanza sana kujengeka like 30 yrs agoMh wachina wana balaa aisee, naskia wana mpango wa kujenga kwao miji inayosifika duniani kama Paris, New York, London n.k yani kama kuna Paris France basi pia kuwe na Paris ndani ya China ambayo itafanana vile vile na ile ya France.
Speed yao inashangaza dunia, na cku wakishai overtake US wataipiga gape takatifu ambalo halijawahi kutokea.wachina wako mbali sana tena sana na hakuna nchi yoyote duniani inaweza endana na speed ya wachina hakuna kwa sasa hio paris yenyewe ni miji iliojengeka over 150yrs ago lakini china ni nchi imeanza sana kujengeka like 30 yrs ago
Tatizo la uchumi wa Kenya hauna "strong roots", nikuulize swali dogo tu, tangu tulipowapita katika "tourism revenue" mlishawahi hata kutukaribia tena?Hizi data huwa zinabadilika kila mwaka, wacha tuone mwaka huu mambo yatakuwa vipi. Isitoshe data hio ni ya miezi sita tu, usishangae ikiwa ikija kwenye mwaka mzima wa 2021 pengine tumewapiku.


.Are you aware that 78tr out of 82tr Tanzanian public debts ni external?Aisee ukimuamsha mtu aliyekufa mwaka 2015 ukamuonesha hii picha atakujibu hiyo picha ya juu Masanja kadogosa yupo SA akisalimiana na abiria alafu hizo picha zingine ni Europe au US au China.View attachment 2064882
You have to check out your facts bro.. buildings with 150 metres in china are more than 2669 while US has about 843 buildings, na top Three list ya miji yenye majengo marefu yenye 150m+ in the world :-Chicago huwezi kuilinganisha na Chengdu. Pengine ungesema Houston, Texas ningekuelewa. Chicago ni miongoni mwa miji mitatu mikubwa ya Marekani New York, Los Angeles na Chicago. Hizi miji mitatu za Marekani ni miongoni mwa miji mikubwa zaidi duniani. Chicago ni bab kubwa. Ila nakubaliana na wewe kuwa miji za China kwa ujumla zina ipiku miji za Marekani kwenye suala la majengo marefu. Kuna video nilitazama youtube inayosema kwamba Marekani ina majengo chini ya mia mbili yenye urefu wa zaidi ya 150 metres. China nayo ina majengo zaidi ya mia tatu yenye majengo yenye urefu zaidi ya 150 metres. Kwa hivyo ukichukua kwa ujumla China ina majengo marefu mengi kushinda USA. Isitoshe mji wenye majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule duniani ni mji wa Shangai. Shangai ina majengo marefu mengi kushinda mji wowote ule , so china ni mnyama kwenye mambo haya.
Mh wachina wana balaa aisee, naskia wana mpango wa kujenga kwao miji inayosifika duniani kama Paris, New York, London n.k yani kama kuna Paris France basi pia kuwe na Paris ndani ya China ambayo itafanana vile vile na ile ya France.
Ndio imetoka hiyo babu 😂😂😂 ikirudi Ina pancha/ndio ntolee .. kama miezi sita tumewakimbiza unafkiri report ya mwaka mzima ndio mtawezana.? Juzi mama kasema tume export kenya mara tatu zaidi ya tulivyofanya mwaka jana, kwahyo tegemea namba za tz kuongezeka zaidi report ya mwaka mzima 2021 ikitokaThat's data for half a year, not full year.....and it's for the first time in decades. Shida hamjui kusoma. For the whole year, Kenya had an edge. Check the statistics.
Chengdu wako vizuri sana...yaweza Kua ndio Chicago ya China...ila kuna vitu unajua utapata states usivipate china...state itabaki Kua state mkuu,ukipata fursa ya kwenda state ndio utaona tofauti...Chedgu nmesalute wako moto nao sio mchezona huu mji pia sio wakitoto hebu chungulia kidogo
China ndio iwe level ya USA uchumi wao unafaa kuwa ×5 ya USA,You have to check out your facts bro.. buildings with 150 metres in china are more than 2669 while US has about 843 buildings, na top Three list ya miji yenye majengo marefu yenye 150m+ in the world :-
1. Hong Kong- 517 buildings
2. Shenzhen- 340 buildings
3. New York- 298 buildings
NB: usisahau kwamba china Iko na 130 cities na pia China sio stagnant kama US...
Owky turudi kwa CHENGDU na CHICAGO, nimefanya research zangu na nikadundua CHENGDU inaiacha mbali sana Chicago kwenye maeneo yafuatayo
1. Subways (hapa ndio hata siwezi linganisha mana US ni vichekesho)
2. Airports (chengdu Old terminus handles about 55m passengers annually, and the new terminus, Chengdu Sichuan international airport is expected to handle more than 100m passengers annually while Chicago O'HARE international airport handles about 30m+ passengers annually)
3. High speed train (hapa napo ni hatari kwakweli, Chengdu beats Chicago hands down)
4. Roads infrastructures (chengdu wins)
5. quality of living (chengdu wins)
6. Innovation (chengdu wins)
7. Peace and security (chengdu wins)
8. Poverty eradication (chengdu wins)
9. Production (chengdu city has a lot of manufacturing companies including car manufacturing company (Volvo) which has annual sales revenue of about 40b+ 2020 report says while the biggest manufacturing company in Chicago (Sciaky, Inc) has about 249.9m sales revenue annually 1/1/2022 report says
10. Science and technology (chengdu wins)
Usisahau CHENGDU ni mji wa sita kwa maendeleo china while Chicago ni mji wa tatu kwa maendeleo China.. and that's why nasemaga US is nothing compared to China likija suala la maendeleo
Kwako wewe sasa unaona Chicago inaizidi chengdu kwenye maeneo yepi.? Uniaminishe mimi kwamba Chicago ni better than chengdu ..nipe facts bro nasubiri
Unless you are not stupid to think so, Tanzania debt to GDP ratio is 36%, only 45% of it is External, while Kenya debt to GDP ratio is 86% out of this 53% is External and 47 is internalAre you aware that 78tr out of 82tr Tanzanian public debts ni external?



