Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chengdu wako vizuri sana...yaweza Kua ndio Chicago ya China...ila kuna vitu unajua utapata states usivipate china...state itabaki Kua state mkuu,ukipata fursa ya kwenda state ndio utaona tofauti...Chedgu nmesalute wako moto nao sio mchezo
Yet they are 10M+
Haimake sense,wanafaa kuwa na More than that.
 
Hata JNHPP inaanza production this year
Kwani maji yanajaa baada ya mda gani kwenye bwana ? Japo sio mtalaamu wa mambo hayo nadhani itakua ngumu as long as hawajaaza kujaza maji . Na mvua zetu hizi hazieleweki
 
Speed yao inashangaza dunia, na cku wakishai overtake US wataipiga gape takatifu ambalo halijawahi kutokea.
😂😂😂 Bro china ilishamalizana na hizo mambo, more than 10 most popular cities in the world are now in china including Paris & London 👇. And what about Chinese Dubai 👇the world's largest artificial island in Hainan city . Hainan city 👇. Chinese perfect City.? Xiongan city U/C 👇 . China has the entire world in the country .. me nashangaa inavyotajwa US mbele ya China
 
One thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.

Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ×7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
 
Number ambazo hazi reflect ground ndio kitu tunachokipinga hapa, hizo kelele zako za GDP peleka uko kabishane na wadogozako
 
One thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.

Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ×7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
Super power ni uchumi na nguvu za kijeshi, China kote huko anakwenda kwa Kasi Sana, akiendelea hivi ndani ya miaka 20 ijayo, China inayonafasi kubwa Sana kuizidi USA,
 
Btw mwaka huu ndio tunamalizana na sgr lot 1 n 2...train za umeme...miez 12 haiwez kuisha kinyonge....Pia tutaupata vyema dira ya mh SSH katika budget ijayo ya 2022-2023...mambo ya salary increments ajira mpya nk
Hapo hakuna kitu bora asinge ongeza mishahara ila mfumuko wa bei ungebaki kama kipindi cha jpm maana kwa mfumuko wa bei ulivyo inatakiwa mishahara ipandishwe kwa asilimia 40 je kwa akili ya kawaida ya uchumi wa serikali ya sa100 wanao uwezo wa kuongeza mishahara kwa hiyo percent?
 
Aisee ukimuamsha mtu aliyekufa mwaka 2015 ukamuonesha hii picha atakujibu hiyo picha ya juu Masanja kadogosa yupo SA akisalimiana na abiria alafu hizo picha zingine ni Europe au US au China.View attachment 2064882
Happy New Year wanajamii!

Hio yote inatokana uthubutu wa JPM (RIP) kufanya bold projects. Ameonyesha njia na wengine wafuate, we have got so much untapped potential to develop the country just like the way South Korea, Singapore, Thailand, Vietnam did to mordenise and expand their economies.

What we need is a read supply of bold and visionary leaders for the next 20 years..
 
Hapo hakuna kitu bora asinge ongeza mishahara ila mfumuko wa bei ungebaki kama kipindi cha jpm maana kwa mfumuko wa bei ulivyo inatakiwa mishahara ipandishwe kwa asilimia 40 je kwa akili ya kawaida ya uchumi wa serikali ya sa100 wanao uwezo wa kuongeza mishahara kwa hiyo percent?
Waongeze ata kwa 15% inatosha kwa kuanzia
 
One thing mnasahau wamarekani ni 300+M na wana gdp ya $21trillions while china wako 1.4b na wanagdp ya $15trillions tofauti ni kubwa sana tena sana yani mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita kiuchumi.

Ili china iwe super power inahitaji kua na uchumi ×7 ya state ilipo sasa yani wawe na gdp ya atleast $105 trillions vs USA $21trillions...sasa bado wanamiaka mingi kufika uko...kumbuka states wanayo technology na most of world leading billionaires are residing in states
😂😂😂 Eti mmarekani mmoja ni sawa na wachina sita: aliskika mlevi mmoja akipiga kelele 😂😂 wamerikani wenyewe in their streets 👇. . Homeless people 👇. . Homeless people in china.? 😳. The streets of china . .. mzee wachana na western propaganda .. vitu kwa ground vinajieleza vyenyewe nani yupo vizuri kimaendeleo kati ya China vs US
 
2022 hii wakuu. Kuna vitu inabidi tukubali tupambane kuvibadili. GDP ya Kenya iko juu kuliko yetu, tupambane tuwashinde kukataa haibadilishi kitu.
Asilimia 80 ya gdp ya kenya ni mali ya mabeberu
Wakati kwa tz asilimia 20 tu ndiyo mali ya mabeberu ,jifunze kwa gdp ya nigeria ni zaidi ya nchi yoyote africa lakini nigeria ni nchi mbovu duni na masikini kabisa kwa sababu gdp yao asilimia 70 ni mali ya mabeberu ,Nigeria gdp yao inabebwa na mafuta ambayo yanawanufaisha mabeberu zaidi wanigeria wana ambulia makombo tu
 
Back
Top Bottom