Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ingekua vyema ungeanza kuifatilia hii discussion tangu mwanzoni ilivyoanza, nimeeleza kila kitu kila eneo.. au ni kawaida yenu wakenya kujisahaulisha ili upate pakutokea.?Mji sio majengo na barabara tu mzee
We kweli upeo wako ni mdogo sana..huwezi sema mji huu ni bora kuliko ule kimiiundombinu alafu hutaki kulinganisha economic wise..
Yani mji ni uchumi na nguvu ya uzalishaji wenye viwango na bira alafu mengine badae, ndio manake elon muski kaamua kuwekeza zaidi marekani wala sio uchina
