Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Nilichogundua katika interactions zangu na watanzania wengi ni kuwa asilimia ya kutisha ya watanzania wako misinformed Na pia hawana awareness ya kutosha ya mambo mengi ya dunia na ulimwengu Kwa ujumla.🚮 Kuna kuongea na kujamba, hapa umejamba
It’s not my fault that you won’t accept the truth. Hivyo nitukane uwezavyo, lakini ukweli umeshaujua.


