Jamani kama ninyi hamjawaelewa shauri yenu, mimi tayari nimemuelewa sababu kinyume cha hayo yote tuliopost kuhusu North Korea ambayo amesema sio maendeleo ni hivi vitu
Kwa hiyo tukubaliane kuanzia leo haya nayo yajumuishwe kwenye indicators za maendeleo na tuachane na decent housings, skyscrapers, barabara nzuri, umeme, surveyed areas, maji ya uhakika, subways za trains, technologies and everything,
Turudi huku kwenye maendeleo maalum! 🚮🚮🚮🚮🚮
View attachment 2064657View attachment 2064658View attachment 2064659View attachment 2064660View attachment 2064661