Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye picha tu mbn hatuwawezi, Mana nyie wazee wa lipstick, yn hapo mmeitengeneza alafu mnaongopea wazungu kwamba mko vzr East and Central Africa alafu wazungu wanaingia mkenge, njoo ground ss, shuzi la mbuzi

Photoshop hiyo Boss ( Baada ya ka research Kadogo)

Hapo kuna picha mbili tofauti, zikiwa zimepigwa na camera inaweza kuwa moja ila lens tofauti.

Lens iliyotumika kupiga mwezi ni Zoom lens na iliyotumika kupiga hiyo long exposure kupata hizi light trails ni Wide angle.

So technically huwezi zoom hadi kwenye Mwezi na bado ukapata hilo li angle lote kutokana na focal length.

Pia kama angepiga mwezi na hizo light trails kwa pamoja na mwezi pia ungeweka trail kwa kuwa na wenyewe unamove taratibu, Ungeweka mstari wa mwanga pia .

So hapo Jamaa ka merge picha mbili na kupata moja.
 
Swala la urban planning limezungumziwa hapa na watanzania wengi sana. Walker255 si wa Kwanza and he'll certainly won't be the last View attachment 2025951View attachment 2025952View attachment 2025953View attachment 2025954View attachment 2025956View attachment 2025958
So u try to compare Tz ya 2012 na Tz ya 2021 are you mad? Tz ya 2012 ilikuwa na BRT, ilikuwa na real estate yenye thamani kubwa kuliko ya Nairobi, ilikuwa na electrical SGR, ilikuwa na bwawa kubwa la umeme, ilikuwa na flyovers za kisasa, ilikuwa na interchanges, ilikuwa na modern Airpots, ilikuwa na cable stayed bridges, ilikuwa na modern bus terminals, ilikuwa na modern Planes, ilikuwa na concrete jungle kuliko nchi yoyote East and Central Africa, ilikuwa na electricity connectivity kuliko nchi yoyote EA? Kuwa na akili hayo mambo walizungumza enzi hizo wkt tukiwa hovyo zaidi na c ss.
 
Just because we differed doesn't mean I can't support him in anything he says here. Na hata ukiangalia conversations yangu na yeye there are a number of times where we used to strike a common ground. I like open-minded people. People who take a minute to reason. Sio vilaza kama wewe na wenzako who can't think beyond their noses. Nimesupport mawazo ya Watanzania wengi sana hapa. The likes of Tuusan, Choice Variable na hata Geza Ulole. They are a few Tanzanians in here who have a voice of reason, sio Kama wewe na kundi lako la blind patriots
Fala wewe huwa una support wakiiponda Tz na c Kenya, mbwa wewe haya ni support na mm basi ninayesema serikali ya Kenya imejaa wezi
 
Westlands

FES__kwXIAYC3H4
Ilo gate vp kiongozi
 
Ingawa wanaijenga polepole kinoma..ila itaisha..
Kasi Yao hata Kobe ana speed . Labda kinyonga Kwa kweli . Yaani hao wakandarasi na wachina wanaojenga mwendokasi ya mbagala wanafanana speed zao . Sasa na mvua zimeanza sipati picha kule maeneo ya magomeni mikumi wamechimba chimba wanaweza rudia kazi udongo plus matope itakua issue. Strabag walikua well equipped na Kasi Yao ilkua nzuri
 
Kasi Yao hata Kobe ana speed . Labda kinyonga Kwa kweli . Yaani hao wakandarasi na wachina wanaojenga mwendokasi ya mbagala wanafanana speed zao . Sasa na mvua zimeanza sipati picha kule maeneo ya magomeni mikumi wamechimba chimba wanaweza rudia kazi udongo plus matope itakua issue. Strabag walikua well equipped na Kasi Yao ilkua nzuri
Phase 3 sijui ataipata nani..naona tender haimaliziwi kutangazwa

Wajapan huwa wako slow sana..hata wakati wanapanua Kilwa Road

Mchina kaongeza ongeza speed.Mama inabidi akawakague tena .maana last time she did ndo speed imeongezeka

Nimepita Jana..hata Flyover upande mwingne wameanza kuweka Nguzo . ..
 
Ni watanzania wachache sana wanaweza ongea huu ukweli umesema hapa. Yani watanzania wengi humu ndani wameshindwa kuacha ushabiki na kuongea ukweli panapohitajika. The few who have tried doing that huwa wanarushiwa maneno makali sana na kuitwa wakenya. Blind patriotism tunafaa kuwachana nayo
Mwambie Tony254 aweke yale aliyosema hatuyajui Kwanza halafu na watanzania ndio waache uzalendo. Maana kasema Nairobi kuna mambo yakiwekwa hapa itakua hatari
 
Back
Top Bottom