2016 to saiv hujui Sehem inaweza Ikabadilika? Tupe picha ya express au Westland muda huo tuone🙂So 5 years is a lot of time? Fanya hivi, tupatie the current picture of the same place (same angle and same everything) tuone kilichobadilika hapo. Picha ya 2021
Kuna vitu vinakera kusema ukweli sijui watendaji ni wachache sijui equipments hazitoshi,ujinga mtupu kama tunaona mambo yametuzidia tutangaze kama international Tender usiende mbali kwa East Africa tu uone kama nchi nzima haijapimwa ndani ya mwaka tu au miwili, deploy makampuni mengi kwa segment tu kwa kuangalia umuhimu!!!!Simamia sera na sheria!!!Mbona kwingine tunaweza?!Ni kweli sehemu nyingi karibu zote Dar zina masterplan tatizo ni ubishi wa watu kujenga Kwenye road reserve na wapimaji wachache wa viwanja na maafisa ardhi wanaopenda ela .
Watu wakija kubomolewa wanalia
Ndio maana nikasema utupe the current picture ya same angle we compare notes na hiyo ya 2016. Mbona jambo rahisi tu?2016 to saiv hujui Sehem inaweza Ikabadilika? Tupe picha ya express au Westland muda huo tuone🙂
Nakupa home work usiende hata mbali nenda Kigali,au Moroni sema umetokea Kenya utupa majibu🙂All of which you can't prove
We nimekupa mfano simple 2006 ya Westlands na saiv? Nyie siuga mnajiona bora kuliko Tanzania? alafu si mnaijua Tanzania? Kuliko wazawa? Naomba utusaidie🙂Ndio maana nikasema utupe the current picture ya same angle we compare notes na hiyo ya 2016. Mbona jambo rahisi tu?
Kama huna jibu nyamaza bongolalaWe nimekupa mfano simple 2006 ya Westlands na saiv? Nyie siuga mnajiona bora kuliko Tanzania? alafu si mnaijua Tanzania? Kuliko wazawa? Naomba utusaidie🙂
Shida wanaosimamia sekta hii ndio hao hao wenye miradi ya viwanja vilivyopimwa!!!!Ekari na ekari. Ukipima maeneo yote bei za viwanja vyao zitashuka hawatafanya biashara tena,wako pale kwa ajili ya kukwamisha ili maisha kwao yaendelee!!!Nina mifano hai kabisa ndo maana mimi siwapendi sana madiwani!!!! siwapendi kabisa!!!!Hawa ni kati ya watu wanaoleta usumbufu sana na kukwamisha vitu vingi sana kwa maslahi yao!!! Na viongozi wa juu wanachekacheka nao tu coz wana nguvu sana unapokuja kwenye swala la mtaji wa kisiasa!!!! Kwa bahati mbaya hata Hayati Mzee wetu hajawahi kuwagusa watu hawa ila ni kati ya watu hovyo kweli kweli kwenye nchi hii!!Kuna vitu vinakera kusema ukweli sijui watendaji ni wachache sijui equipments hazitoshi,ujinga mtupu kama tunaona mambo yametuzidia tutangaze kama international Tender usiende mbali kwa East Africa tu uone kama nchi nzima haijapimwa ndani ya mwaka tu au miwili, deploy makampuni mengi kwa segment tu kwa kuangalia umuhimu!!!!Simamia sera na sheria!!!Mbona kwingine tunaweza?!
So hapo umeprove nini?Nakupa home work usiende hata mbali nenda Kigali,au Moroni sema umetokea Kenya utupa majibu🙂
Kama hujapata point yangu basi kila la kheir 🙂So hapo umeprove nini?
Naona umenielewa🙂Kama huna jibu nyamaza bongolala
Apana nitafufuka+ CBD kwan ukisema hvo unakufa![]()
Swala la urban planning limezungumziwa hapa na watanzania wengi sana. Walker255 si wa Kwanza and he'll certainly won't be the last View attachment 2025951View attachment 2025952View attachment 2025953View attachment 2025954View attachment 2025956View attachment 2025958

the Internet never forgets NdindaHii battle ishaishiwa ni ujinga ngani huu wa kupost!!!Siku tutatumiwa picha Tatu City watu wameanza kunya!!!Laying of internet cables at Tatu City
![]()
Huyu mama has balls to do what men failed to do sadlyJpm was stupid. Hadi samia anakubali. View attachment 2026032
Hii battle ishaishiwa ni ujinga ngani huu wa kupost!!!Siku tutatumiwa picha Tatu City watu wameanza kunya!!!











