Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya Dodoma inawauma Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli Dodoma waga inanichoma moyo nikiskia ni capital city 💩💩 kmmke Isiolo inaafadhali.🤣🤣
images (10).jpeg
images (12).jpeg
images (11).jpeg
 
Kwa Mwanza hutanidanganya chochote. Wala usijaribu. Unataka kuniambia kuwa hayo makazi niliyopost Kwa sasa hayapo? Tena Kwa aibu kubwa, ukiingia mjini kutoka south, kitu cha kwanza kuona ni hayo makazi. CBD ya Mwanza yenyewe haina nafuu. Ni maeneo tajiri tu kama Capripoint ndio utaona ahueni.
ichoboy01 soma na ulie chooni,
 
Oya Tony254 njoo uone Kariakoo nnayoijua mimi ilivyo kali, sijui mtaleta uchafu gani huko kwenu kulinganisha na Kk au Coco reborn unasemaje 😂😂 umieni kwa pamoja 👇.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani umepanic mpaka unaniquote kwa ujinga kama huo. Kitu Cha maana hapo ni hio ngoma ya joeboy.
 
Back
Top Bottom