Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, we are talking about URBAN PLANNING sio slums. Why are you always on the defensive everytime the word 'urban planning' is mentioned and link it with slums? What's the relationship between urban planning and slums you know that we don't know?
shida yako ww kubwa unalazmisha tufanane haiwezekani tukafanqna budaa slum huku hakuna na sio kwamba mzungu hakuona kwenye sattelite aliona vzr sana na ndio maana akaona za nairobi 🤣🤣🤣🤣
A979D29A-4E45-4DCB-B6F2-7534C66CF604.png




unplanned settment na slums ni vitu viwili tofaut kabisa slum ni kitu worse than unplanned settment 😂😂😂😂
 
Ndio maana Uganda iko hapa na kuahidi kutumia bandari zetu zaidi.

Wasi Wasi wangu ni kwamba, China iki take over KPA itataka kuwa hub ya Afrika. Ukizingatia mizigo mingi inatoka Asia na pia wana vessels na shipping line kubwa sana. Hivyo threat kwao Kwa Sasa ni Tanzania.

Wakubwa zetu na wenye maamuzi wawe makini sana maana mchina lazima atutupie ndoano kali sana ya kutuvuta. Huu ndio muda ya kuchanga karata na kupiga hesabu zetu vizuri.
mchina kuchukua port of mombasa ni kurudisha pesa yake na riba juu hio ndio aim kubwa 🤣🤣🤣 sasa fikiria nchi kama kenya yenye debt to GDP ratio of about 86% itakua kwenye hali gani???
 
Kwani we jamaa ukitumia picha ambazo ni current Ili kutoa povu lako, utakufa.? Mbona muoga muoga mpaka uokote picha za zamani uko Google ndio uje kujifurahisha, mbona sisi huwa tunapost maisha yenu mnayoishi leo na tunawabeza tu, kwanini usiwe fair kijana .? Au unaogopa kuzidiwa.?
Utaumiza kichwa mkuu, wakenya ndo walivyo longo longo,tangu juzi picha za 2001 mpaka 2007 kuna mmoja alipost picha ya 2005 juzi yani full kicheko🤣🤣🤣
Aafu kasema kuna MTU Yupo Dar angemuomba amtumie picha current ingekua poa🤣🤣🤣🤣🤣
 
mchina kuchukua port of mombasa ni kurudisha pesa yake na riba juu hio ndio aim kubwa sasa fikiria nchi kama kenya yenye debt to GDP ratio of about 86% itakua kwenye hali gani???
Effect yake itashuka hadi huku Bongo mkuu. Ikutokea mchina ka take over lazima mambo yaharibike hadi kwetu upande wa bandari maana mchina ataitumia Mombasa to the maximum. Ikishakuwa chini yake lazima aiboreshe na atavutia vessels nyingi na liners kwake.
 
Waliyo na roho mbaya wanajulikana dunia nzima. Dunia haijasahau jinsi mlivyochoma vifaranga wasio na hatia
Dunia nzima inajua mkenya ana kichwa kigumu,anapenda sifa za kijinga,ana tamaa na roho ngumu🙂
 
Kwenye picha tu mbn hatuwawezi, Mana nyie wazee wa lipstick, yn hapo mmeitengeneza alafu mnaongopea wazungu kwamba mko vzr East and Central Africa alafu wazungu wanaingia mkenge, njoo ground ss, shuzi la mbuzi

Aliyepiga hiyo picha kweli Noma, Long Exposure kupata light trails and at the same time kafreeze mwezi, imagine shutter speed at 1/125sec and 1/250sec and the aperture between f/5.6 and f/11. The moon, sawa ila hizo light trails mhhh, labda double exposure. IMO.
 
2016 mpaka saiv miaka mingap? Mbona sisi tunawapa vitu current?
So 5 years is a lot of time? Fanya hivi, tupatie the current picture of the same place (same angle and same everything) tuone kilichobadilika hapo. Picha ya 2021
 
Back
Top Bottom