Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Wasichana wasome. Viva Samia
Mji sio hostels we bwegeKweli we ni tacle, Hizo hostel si zipo Dodoma au , na wewe Leta hostel za huko ulikolingamisha na Dodoma.
Zote zilizojengwa zina wateja. Demand iko. Though one thing we need to look at is housing for the extremely poor. Real Estate focuses too much on the middle class and rich.Its good to see your real estate sector rising fast..lakini nikuulize swali..What is the view of it...Je mna demand kubwa..ya kujaza haya majengo...isije ikatokea kama mambo ya evergrande..
Alafu wanawatumia wazungu wakisema Nairobi is the most developed city in EAPhotoshop hiyo Boss ( Baada ya ka research Kadogo)
Hapo kuna picha mbili tofauti, zikiwa zimepigwa na camera inaweza kuwa moja ila lens tofauti.
Lens iliyotumika kupiga mwezi ni Zoom lens na iliyotumika kupiga hiyo long exposure kupata hizi light trails ni Wide angle.
So technically huwezi zoom hadi kwenye Mwezi na bado ukapata hilo li angle lote kutokana na focal length.
Pia kama angepiga mwezi na hizo light trails kwa pamoja na mwezi pia ungeweka trail kwa kuwa na wenyewe unamove taratibu, Ungeweka mstari wa mwanga pia .
So hapo Jamaa ka merge picha mbili na kupata moja.![]()







Ila kusema ukweli Nairobi kimajengo bado sn, ona hapo ni mjini alafu angalia uwazi huo.Nairobery. Highrises coming up in every direction you look
View attachment 2026016View attachment 2026017View attachment 2026018
Tony ni Mtz aliyezaliwa Kenya co mwehu kama nyie.Tonney254 ni mtanzania?
Alisema atamtuma mtu aje Dar kupiga pichaUtaumiza kichwa mkuu, wakenya ndo walivyo longo longo,tangu juzi picha za 2001 mpaka 2007 kuna mmoja alipost picha ya 2005 juzi yani full kicheko
Aafu kasema kuna MTU Yupo Dar angemuomba amtumie picha current ingekua poa![]()








Vumbi mtindo mmoja, kama Uganda mwanangu.
Kampala, Uganda.500km from NairobiView attachment 2026197
500km from NairobiView attachment 2026198

Mvua zimeanza kunyesha sasa....sijui watasingizia nn tena
Polepole tutaelewana tuu na hawa anti jpm