Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe nadeal na zuzu who can't even remember his own words!

Nilileta ripoti ya WB about extreme poverty in Tanzania and you reacted with a Tweet from your government saying that poverty levels in Tanzania have reduced to something to do with 26% (can't remember the exact figure). Hiyo ilikuwa ni tweet ya this year ndio nikakuuliza inamaanisha kwamba in less than one year poverty in Tanzania has reduced by more than a half? Mambo na mipicha unajua ulikotoa and shows just how confused your are!
kama hiii 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hehehehee huyo Walker umemsahau leo!!? C ndio alikuwa anakupiga vitasa humu ndani au umesahau, wakati anakupiga vitasa ulikuwa husemi kwamba anasema ukweli ila leo ndio unamuona anasema ukweli
Just because we differed doesn't mean I can't support him in anything he says here. Na hata ukiangalia conversations yangu na yeye there are a number of times where we used to strike a common ground. I like open-minded people. People who take a minute to reason. Sio vilaza kama wewe na wenzako who can't think beyond their noses. Nimesupport mawazo ya Watanzania wengi sana hapa. The likes of Tuusan, Choice Variable na hata Geza Ulole. They are a few Tanzanians in here who have a voice of reason, sio Kama wewe na kundi lako la blind patriots
 
Mimi mwenyewe nimeishi Mwanza miaka mitatu mzee nimeondoka juzi kati tu mwezi wa nane, huyo bwenge ana chuki zake na serikali atulize kijambo, vitu anavyolalamikia mostly ni uongo, ndio yapo maeneo ya kwenye milima juu ya mawe ambayo hayajapangwa lakini kwa standard za Africa yanaridhisha lakini pia yapo maeneo ya tambarare ambayo yamepangwa vizur tu na ni maeneo mengi na yamepostiwa humu videos zaidi ya tano, kama kuona ni kuona ni kuamini kwanini na wewe usapoti ufala wake.?
Swala la urban planning limezungumziwa hapa na watanzania wengi sana. Walker255 si wa Kwanza and he'll certainly won't be the last
Screenshot_20190731-155642.png
Screenshot_20190731-112625.png
Screenshot_20190731-112618.png
Screenshot_20190731-111540.png
Screenshot_20190731-110558.png
Screenshot_20190731-111614.png
 
wewe zungukaaa wewe ila point itabakia pale pale tanzania hakuna slums na mzungu hawezi kua mjinga kuliko wewe mark my words 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo ungeambia hao watanzania wenzako kwenye hiyo screenshot. Anza na NDINDA. Naona naye alikuwa mkweli back then Kabla ya kuathirika
 
Hilo ungeambia hao watanzania wenzako kwenye hiyo screenshot. Anza na NDINDA. Naona naye alikuwa mkweli back then Kabla ya kuathirika
yani kwetu shida iko ni unplanned settlement lakini sio level za slums mzee hio weka akilini yani ukiwambia mtanzania yoyote neno slum hakuelewi kabisa 😂😂 mzungu hawez kua mjinga aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee haiwezekani lia pasuka 😅😅
 
yani kwetu shida iko ni unplanned settlement lakini sio level za slums mzee hio weka akilini yani ukiwambia mtanzania yoyote neno slum hakuelewi kabisa 😂😂 mzungu hawez kua mjinga aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee haiwezekani lia pasuka 😅😅
Bongolala, we are talking about URBAN PLANNING sio slums. Why are you always on the defensive everytime the word 'urban planning' is mentioned and link it with slums? What's the relationship between urban planning and slums you know that we don't know?
 
If you did literature, you could have understood why the writer was careful with his choice of words and why he used the word could add not any other word
He did noy say could be beggars what he said is could be rich people. The beggar mark is still there and i can share with you similar stories of your city beggars.
 
muda wa ushuzi sasa




Ndio maana Uganda iko hapa na kuahidi kutumia bandari zetu zaidi.

Wasi Wasi wangu ni kwamba, China iki take over KPA itataka kuwa hub ya Afrika. Ukizingatia mizigo mingi inatoka Asia na pia wana vessels na shipping line kubwa sana. Hivyo threat kwao Kwa Sasa ni Tanzania.

Wakubwa zetu na wenye maamuzi wawe makini sana maana mchina lazima atutupie ndoano kali sana ya kutuvuta. Huu ndio muda ya kuchanga karata na kupiga hesabu zetu vizuri.
 
He did noy say could be beggars what he said is could be rich people. The beggar mark is still there and i can share with you similar stories of your city beggars.
And I can share with you thousands of articles about Tanzanian beggars on Kenyan streets
 
Back
Top Bottom