Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cku moja moja muwe mnaweka picha mpya hizi zimechoka sn, mbn cc wenzenu tunaweka mpya?
Wivu imegonga ndipo! 😂 😂 😂
Mbona umekasirika mapema hivi na kazi yenyewe hata haijaisha? Tulia ndugu! Wengine wetu hapa tunangoja ujenzi iishe ndio tuanze kumwaga picha humu ndani
 
uhehe mm nimezaliwa mwanza nimesoma mwanza mpaka A level na wazazi wangu wako mwanza ww utanieleza nn 😂😂😂 haya niambie ww utanidanganya nn kuhusu mwanza mzee

yani ww unanichekesha sana mwanza kuna maeneo yamejengeka kama igoma, nyakato, nyasaka, ilemela kilimahewa, bwiru, kirumba, kishiri, nyegezi mpaka mkolani , isamilo huko ww utanieleza nn kuhusu mwanza 🤣🤣🤣

mfano mdogo hii ni bwiru ward

Hata kama ungekuwa unajua hadi chini ya ziwa Victoria kukoje, hutaweza kukataa the fact kuwa Mwanza haina mpangilio. Watu wanajenga kila mahali na sasa everything is just a mess. Siku nitaenda Mwanza nipige picha mwenyewe.
 
Kwani hii nguvu yote ni ya nini?
Kama mnalipa kodi na makato ya kila aina kwanini msilalamike Kwa serikali mnapoona kasoro? Mimi nafika wakati nashindwa kuwaelewa watanzania. Kwa nini mnatetea hali hii? Kwasababu ya ushabiki wa CCM? Kodi zenu zinaliwa na viongozi ambao hawafanyi kazi yao na nyie mnaendelea Kuwa mashabiki? This makes no sense to me. Somebody please make me understand!
 
Miji mingi tuu ya zamani Tanzania ilikuwa imepangika vizuri, tatizo lilianza miaka 40 hivi iliyopita, ambapo wahusika waliacha kusimamia mipango miji. Miji ambayo haikuongezeka haraka kama Tanga bado imebaki katika mpangilio.

Dar es salaam kwa mfano, sehemu nyingi tuu za nje ya mji (kwa wakati huo) zilikuwa zimepangiliwa vizuri, mfano Tandika, Chang'ombe, Mwenge Kijijini, Sinza, Magomeni na hata Kinondoni. Nje ya sehemu hizo wahusika waliaacha wananchi wajifanyie watakavyo.
Na hapa Ndio tatizo lilitokea. Kwa nini serikali imekaa idle bila kutekeleza mpangilio wa miji? Serikali ya Tanzania na uwajibikaji ni vitu viwili visivyopatana!
 
Issue ya jiji la moshi inatakiwa eneo liongezeke kwa kumega eneo toka wilaya nyingine kama moshi vijijini ili eneo liwe kubwa ila vigezo vya watu na shughuli za kiuchumi imekidhi.
Sikufahamu kuwa ili manispaa iwe jiji inatakiwa eneo lake liwe kubwa. Lakini kama Magufuli alitumia mamlaka yake kuifanya Dodoma kuwa jiji, Kwa nini wasifanye hivyo na Moshi?
 
We jamaa mbona unapenda kuongea uongo si nimekupa jana TU taariifa mpya kuhusu idadi ya maskini Tanzania kwa mujibu was data zetu za ndani ?
So within one year umaskini imepungua Tanzania by more than a half? 😂 😂 😂
what a joke!
 
Nilichogundua humu Watanzania wengi hata hawajui nini kinachoendelea Tanzania, hawafuatilii kabisa.. bro The best 007 hiv unajua kuwa Kigamboni iko vizuri sana kwenye masuala ya investments Kigamboni ni dope bro .. kuna mjinga mmoja alidai eti Kigamboni ni useless Nimecheka kifala sana.. owky hii ni miradi iliyopo Kigamboni sijajua kama ni familiar kwa watu wengi humu ndani .. pita humu Afro oil Kigamboni . Lake gas Kigamboni . Cable hangar and transformer hangar factory Kigamboni . MONY industry Kigamboni . bro kuna miradi kibao inayoendelea hapo Kigamboni .. nitatafuta free time kesho niende nikafanye research zangu ..
kabisa
 
Huwa nawaambia kila siku humu kwenye mambo ya msingi muache ushabiki muwe objective kama kweli mnataka kuisaidia nchi yenu. Yes najua huu ni uzi wa ushindani na majirani zetu tunatakiwa kuonesha umwamba wetu ambapo tuna mengi tu ya kusema na wao wanajua. Lakini la mipango miji tumefeli sana, kwa kuwa watu wengi wanafuatilia huu uzi, nadhani pia ni fursa nzuri ya kuambizana ukweli.

Kati ya sehemu huwezi kuniambia kuhusu development yake ni Kigamboni, hayo maeneo mnayopiga picha na kurusha humu mimi ndio zone yangu kila siku. Hiyo Dege mwaka wa saba huu magofu tu, utasikia mara sijui tuifanye chuo, mara sijui tuuze…..hakuna mwenye majibu hadi leo nini tunaenda kufanya pale…..hata Rais ukimuuliza atakwambia sijui. Estates kama Dungu Farm, Mwongozo n.k miaka sasa hazijaisha in totality, huwezi kabisa kulinganisha na za wenzetu au standard inayotakiwa kuwa. Usiniambie kuhusu sijui hiyo industrial/economic zone ambayo miaka karibu kumi sasa hakuna chochote.

Kigamboni eneo lililotakiwa kupangwa upya na kuendelezwa ni kuanzia feri mpaka mji mwema kuelekea Kibada, huko ndiko kulitakiwa kujengwa mji mpya baada ya kufidia watu na kuondoka. Pengine kuanzia mji mwema hadi Geza Ulole palitakiwa napo papangwe vizuri upya. Baada ya kuleta siasa na uswahili wetu mchezo ukafia pale.

Kigamboni ndio future ya Dar es Salaam, kasi ya watu kuhamia uko ni kubwa sana. Sasa una mji uko in a very potential area, costline ndefu na safi ajabu, mita 300 toka CBD lakini haueleweki na umeachwa tu na sasa hivi watu wanajijengea Tanzania style sababu mtu mmoja alimua kuvunja KDA na kuachia mambo yaendeshwe na madiwani ambao ndio wameifikisha Dar hapa ilipo.

I can swear to you guys, hate it or love it……Dar wasipoleta Masterplan na kuisimamia kikamilifu bila siasa ndani ya miaka 5, utakuwa ni mji wa ajabu sana in 20years to come. Kama tutajaaliwa uhai nadhani tutakuwa hapa tunasikitika pamoja. I love this city na nasikia uchungu sana kuona watu wanalichezea.
Ni watanzania wachache sana wanaweza ongea huu ukweli umesema hapa. Yani watanzania wengi humu ndani wameshindwa kuacha ushabiki na kuongea ukweli panapohitajika. The few who have tried doing that huwa wanarushiwa maneno makali sana na kuitwa wakenya. Blind patriotism tunafaa kuwachana nayo
 
Huwa hamupendi kuona watanzania wenzenu kama huyu wakisema ukweli
Huwa nawaambia kila siku humu kwenye mambo ya msingi muache ushabiki muwe objective kama kweli mnataka kuisaidia nchi yenu. Yes najua huu ni uzi wa ushindani na majirani zetu tunatakiwa kuonesha umwamba wetu ambapo tuna mengi tu ya kusema na wao wanajua. Lakini la mipango miji tumefeli sana, kwa kuwa watu wengi wanafuatilia huu uzi, nadhani pia ni fursa nzuri ya kuambizana ukweli.

Kati ya sehemu huwezi kuniambia kuhusu development yake ni Kigamboni, hayo maeneo mnayopiga picha na kurusha humu mimi ndio zone yangu kila siku. Hiyo Dege mwaka wa saba huu magofu tu, utasikia mara sijui tuifanye chuo, mara sijui tuuze…..hakuna mwenye majibu hadi leo nini tunaenda kufanya pale…..hata Rais ukimuuliza atakwambia sijui. Estates kama Dungu Farm, Mwongozo n.k miaka sasa hazijaisha in totality, huwezi kabisa kulinganisha na za wenzetu au standard inayotakiwa kuwa. Usiniambie kuhusu sijui hiyo industrial/economic zone ambayo miaka karibu kumi sasa hakuna chochote.

Kigamboni eneo lililotakiwa kupangwa upya na kuendelezwa ni kuanzia feri mpaka mji mwema kuelekea Kibada, huko ndiko kulitakiwa kujengwa mji mpya baada ya kufidia watu na kuondoka. Pengine kuanzia mji mwema hadi Geza Ulole palitakiwa napo papangwe vizuri upya. Baada ya kuleta siasa na uswahili wetu mchezo ukafia pale.

Kigamboni ndio future ya Dar es Salaam, kasi ya watu kuhamia uko ni kubwa sana. Sasa una mji uko in a very potential area, costline ndefu na safi ajabu, mita 300 toka CBD lakini haueleweki na umeachwa tu na sasa hivi watu wanajijengea Tanzania style sababu mtu mmoja alimua kuvunja KDA na kuachia mambo yaendeshwe na madiwani ambao ndio wameifikisha Dar hapa ilipo.

I can swear to you guys, hate it or love it……Dar wasipoleta Masterplan na kuisimamia kikamilifu bila siasa ndani ya miaka 5, utakuwa ni mji wa ajabu sana in 20years to come. Kama tutajaaliwa uhai nadhani tutakuwa hapa tunasikitika pamoja. I love this city na nasikia uchungu sana kuona watu wanalichezea.
 
Kutoka nchi gani nn, ndugu zenu hao, hakuna mTz anayevutika kuja Kenya, cc wenyewe hatuvutiki kuja Kenya ndiyo itakuwa maskini aje Kenya? Yani aache maziwa na asali afuate mavi na takataka
Living in denial hasn't saved your a*&$ all this long so you think it will make at difference now?
 
Huwa nawaambia kila siku humu kwenye mambo ya msingi muache ushabiki muwe objective kama kweli mnataka kuisaidia nchi yenu. Yes najua huu ni uzi wa ushindani na majirani zetu tunatakiwa kuonesha umwamba wetu ambapo tuna mengi tu ya kusema na wao wanajua. Lakini la mipango miji tumefeli sana, kwa kuwa watu wengi wanafuatilia huu uzi, nadhani pia ni fursa nzuri ya kuambizana ukweli.

Kati ya sehemu huwezi kuniambia kuhusu development yake ni Kigamboni, hayo maeneo mnayopiga picha na kurusha humu mimi ndio zone yangu kila siku. Hiyo Dege mwaka wa saba huu magofu tu, utasikia mara sijui tuifanye chuo, mara sijui tuuze…..hakuna mwenye majibu hadi leo nini tunaenda kufanya pale…..hata Rais ukimuuliza atakwambia sijui. Estates kama Dungu Farm, Mwongozo n.k miaka sasa hazijaisha in totality, huwezi kabisa kulinganisha na za wenzetu au standard inayotakiwa kuwa. Usiniambie kuhusu sijui hiyo industrial/economic zone ambayo miaka karibu kumi sasa hakuna chochote.

Kigamboni eneo lililotakiwa kupangwa upya na kuendelezwa ni kuanzia feri mpaka mji mwema kuelekea Kibada, huko ndiko kulitakiwa kujengwa mji mpya baada ya kufidia watu na kuondoka. Pengine kuanzia mji mwema hadi Geza Ulole palitakiwa napo papangwe vizuri upya. Baada ya kuleta siasa na uswahili wetu mchezo ukafia pale.

Kigamboni ndio future ya Dar es Salaam, kasi ya watu kuhamia uko ni kubwa sana. Sasa una mji uko in a very potential area, costline ndefu na safi ajabu, mita 300 toka CBD lakini haueleweki na umeachwa tu na sasa hivi watu wanajijengea Tanzania style sababu mtu mmoja alimua kuvunja KDA na kuachia mambo yaendeshwe na madiwani ambao ndio wameifikisha Dar hapa ilipo.

I can swear to you guys, hate it or love it……Dar wasipoleta Masterplan na kuisimamia kikamilifu bila siasa ndani ya miaka 5, utakuwa ni mji wa ajabu sana in 20years to come. Kama tutajaaliwa uhai nadhani tutakuwa hapa tunasikitika pamoja. I love this city na nasikia uchungu sana kuona watu wanalichezea.

Tanzania style ni hiyo The best 007 na joto la jiwe huita Dream houses?
 
I haven't read the entire composition but these four lines in the first paragraph caught my attention:

You see that beggar you give handouts to on the streets, he could actually be a proud owner of several parcels of land or plots.

The keyword in that sentence is COULD. That sums it up
But that does not denounce the fact that they are still beggars.
 
Na hapa Ndio tatizo lilitokea. Kwa nini serikali imekaa idle bila kutekeleza mpangilio wa miji? Serikali ya Tanzania na uwajibikaji ni vitu viwili visivyopatana!
Mipango miji iliathirika miaka ya 80s ikaanza kushughulikiwa tena late 90s wakati wa mkapa lakini hicho ndio kilikuwa kipindi cha growth kubwa mijini mara tuu baada ya liberalization kuanza wakati wanaanza kurekebisha wananchi walikuwa wameshafika mbali na ujenzi mwingi nje ya plan.
 
Back
Top Bottom