Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zote zilizojengwa zina wateja. Demand iko. Though one thing we need to look at is housing for the extremely poor. Real Estate focuses too much on the middle class and rich.
Yeah thats..good..the focus ku improve Housing kwa extremely poor..hata sisi Tz inabidi tufanye ..ili kupunguza informal settlements..but kuwatoza kodi itakuwa hectic..lakini the goverments inabidi zifanye hivi..even if ita charging them 10usd a month

Okay kama mna demand kubwa its well and good..my first thought is i felt like Nairobi is over builiding Houses and malls..and i was questuoninh the Demand..will they be profitable to developers..uzuri developers sio company moja
 
TZ & urbanisation

Screenshot_20211128-154948.png
 
Photoshop hiyo Boss ( Baada ya ka research Kadogo)

Hapo kuna picha mbili tofauti, zikiwa zimepigwa na camera inaweza kuwa moja ila lens tofauti.

Lens iliyotumika kupiga mwezi ni Zoom lens na iliyotumika kupiga hiyo long exposure kupata hizi light trails ni Wide angle.

So technically huwezi zoom hadi kwenye Mwezi na bado ukapata hilo li angle lote kutokana na focal length.

Pia kama angepiga mwezi na hizo light trails kwa pamoja na mwezi pia ungeweka trail kwa kuwa na wenyewe unamove taratibu, Ungeweka mstari wa mwanga pia .

So hapo Jamaa ka merge picha mbili na kupata moja.
Yaani picha moja imewashtua hadi mnaanza kutoa theories za maajabu ili kutafuta pa kutokea?
 
Mvua zimeanza kunyesha sasa....sijui watasingizia nn tena

Maintenance situmeingia juzi mkataba na kampuni ya India ku automate mfumo mzima wa tanesko kwa kipindi cha miaka miwili sijui, iyo Ndio itakua sababu yao yakutokea
 
Back
Top Bottom