Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii cable stayed bridge viaduct iko kwenye final touch, soon itakamilika, nina uhakika na hii road wataikarabati mana imechoka sn hii barabara since uhuru alafu viongozi wanapita hapo wakitoka Airpot kuelekea Magogoni, inaleta view mbaya na yenye kukera machoni nna uhakika itakarabatiwa mana BRT ipo karibu na hapo hawawezi kuiacha hivyo hivyo.View attachment 2025389View attachment 2025390View attachment 2025391View attachment 2025392View attachment 2025393View attachment 2025394
hiyo mpaka uanze ujenzi wa brt kutoka Gomzi
 
Ndege yetu iligombaniwa sn kule Kenya, kila mtu alitaka kupanda a220.
JamiiForums-676106969.jpg
 
Sama boy 255 Nilikuambia huu mchezo hautaki hasira, eco dege from their FB page inasema it sits on 300 acres of land👇.
Screenshot_20211127-231119_1.jpg


Wacha tuchukue an estate in Nairobi tatu na konza city tuiweke kando kidogo, Nyayo estate embakasi sits on a whopping 960 acres of land and it's fully developed bila mapengo👇
Screenshot_20211127-231305_1.jpg

Now tell me how do you expect me to take you serious when you embarrass yourself like this 🙄🙄

Fun fact, Nyayo estate is the second biggest estate in Africa
images (13).jpeg
Screenshot_20211127-233156.jpg
 
Sama boy 255 Nilikuambia huu mchezo hautaki hasira, eco dege from their FB page inasema it sits on 300 acres of land👇.View attachment 2025586

Wacha tuchukue an estate in Nairobi tatu na konza city tuiweke kando kidogo, Nyayo estate embakasi sits on a whopping 960 acres of land and it's fully developed bila mapengo👇View attachment 2025585
Now tell me how do you expect me to take you serious when you embarrass yourself like this 🙄🙄

Fun fact, Nyayo estate is the second biggest estate in AfricaView attachment 2025593View attachment 2025611
Acha uongo mzee Coco reborn Dege eco village Kigamboni ni 300 hectares equivalent to 741.316 acres .. halafu zingatia na quality Bruh ..Nyayo estate ni uchafu tu ukilinganisha na Dege eco village tukizongatia quality .. heb ona hapa 👇 renda . Riality 👇. Clarification .. Dege eco village iko na
1. Executive villas 68
2. Twin villas 88
3. Ditached houses 148
4. Apartments 7000
So Dege eco village Kigamboni ukiachana na ukubwa Ila ni quality kulinganisha na mradi wowote wa makazi ya watu hapa EA labda Fumba town ukiongezeka ukubwa
 
Kwa Mwanza hutanidanganya chochote. Wala usijaribu. Unataka kuniambia kuwa hayo makazi niliyopost Kwa sasa hayapo? Tena Kwa aibu kubwa, ukiingia mjini kutoka south, kitu cha kwanza kuona ni hayo makazi. CBD ya Mwanza yenyewe haina nafuu. Ni maeneo tajiri tu kama Capripoint ndio utaona ahueni.
uhehe mm nimezaliwa mwanza nimesoma mwanza mpaka A level na wazazi wangu wako mwanza ww utanieleza nn 😂😂😂 haya niambie ww utanidanganya nn kuhusu mwanza mzee

yani ww unanichekesha sana mwanza kuna maeneo yamejengeka kama igoma, nyakato, nyasaka, ilemela kilimahewa, bwiru, kirumba, kishiri, nyegezi mpaka mkolani , isamilo huko ww utanieleza nn kuhusu mwanza 🤣🤣🤣

mfano mdogo hii ni bwiru ward

 
Back
Top Bottom