Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Construction of towers never stops in Nairobi. A new tower coming up in Westlands. The one with the green net is the Elite tower, it will be 20 floors.

258148936_1062733321148000_6448639426277398763_n.jpg
 
Hiv wewe coco bebee unataka kulinganisha quality ya nyumba za Dege eco village Kigamboni na hii estate ya nyayo kweli.? Owky nimekubali kwamba ni 300 acres .. how many units are in Nyayo Estate.?
The best 007 angalia kijana wako alivyolegea Sasa mpaka anatia huruma🤣🤣🤣🤣 next time mufanye research kabla hamjaniquote.
 
Construction of towers never stops in Nairobi. A new tower coming up in Westlands. The one with the green net is the Elite tower, it will be 20 floors.

258148936_1062733321148000_6448639426277398763_n.jpg
And what is the name of the one from which the picture was taken at
 
Nimeambiwa viongozi wa CCM wanachunguliaga huku, Wacha pia wao niwakere👇👇👇🤣🤣🤣 Walker255 niongeze volume ama niwache 👇👇👇View attachment 2025646View attachment 2025647View attachment 2025649

View attachment 2025650
Kwani we jamaa ukitumia picha ambazo ni current Ili kutoa povu lako, utakufa.? Mbona muoga muoga mpaka uokote picha za zamani uko Google ndio uje kujifurahisha, mbona sisi huwa tunapost maisha yenu mnayoishi leo na tunawabeza tu, kwanini usiwe fair kijana .? Au unaogopa kuzidiwa.?
 
Nimeambiwa viongozi wa CCM wanachunguliaga huku, Wacha pia wao niwakere👇👇👇🤣🤣🤣 Walker255 niongeze volume ama niwache 👇👇👇View attachment 2025646View attachment 2025647View attachment 2025649

View attachment 2025650
Kwani we jamaa ukitumia picha ambazo ni current Ili kutoa povu lako, utakufa.? Mbona muoga muoga mpaka uokote picha za zamani uko Google ndio uje kujifurahisha, mbona sisi huwa tunapost maisha yenu mnayoishi leo na tunawabeza tu, kwanini usiwe fair kijana .? Au unaogopa kuzidiwa.?
 
The best 007 angalia kijana wako alivyolegea Sasa mpaka anatia huruma🤣🤣🤣🤣 next time mufanye research kabla hamjaniquote.
How many units are in Nyayo Estate.? Alafu mimi sikuleta Dege eco village ili nilinganishe size na estate yenu yoyote, hiyo mada ya size uliileta wewe.. what I was saying ni kuhusu quality buildings .. naona unataka kunitoa kwenye reli kilazima sasa, unataka kubadilisha mada.?
 
Nilichogundua humu Watanzania wengi hata hawajui nini kinachoendelea Tanzania, hawafuatilii kabisa.. bro The best 007 hiv unajua kuwa Kigamboni iko vizuri sana kwenye masuala ya investments Kigamboni ni dope bro .. kuna mjinga mmoja alidai eti Kigamboni ni useless 😂😂😂 Nimecheka kifala sana.. owky hii ni miradi iliyopo Kigamboni sijajua kama ni familiar kwa watu wengi humu ndani .. pita humu👇 Afro oil Kigamboni . Lake gas Kigamboni . Cable hangar and transformer hangar factory Kigamboni . MONY industry Kigamboni . bro kuna miradi kibao inayoendelea hapo Kigamboni .. nitatafuta free time kesho niende nikafanye research zangu ..
 
nairobi ni wapi..! nairobi nikunoma ile mbaya. ogopa nairobi. dar mko mbali kukaribia nairobi
3015025_JamiiForums-304346782.jpg
 
Back
Top Bottom