Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'M sorry to say umeandika paragraph nyingi sana lakini ulichoandika haki reflect kama aliyeandika ni msomi au mtu anayefuatilia mifumo ya serikali kiutendaji.Umeanza kwa kulinganisha magufuli na samia kiakili na kiutendaji unasema samia hamfikii Magufuli kwa kila kitu,Msomi hawezi kuja na mawazo ya mtindo huo hasa unapocompare leadership.Leadership sio akili kichwani au utendaji mzuri is all about vision,chosing the best style kulingana na wakati husika.Style ya samia kiuongozi na JPM kwa vyovyote hawawezi fanana sana japo kuna vitu vitafanana.Style ya uongozi huja na mtazamo wa mkiongozi kwa anaowaongoza pia.Hivyo unapaswa kuchambua style zao za uongozi na kusema ipi inafaa kwa TANZANIA.Hoja yako ya kusema kama sio Magufuli barabara sisingejengwa kwa wingi wakati wa JK ni hoja MFU kabisa, unasahau kua serikalini kuna vipaumbele vinavyoenda kulingana na wakati kama kikwete asingependa barabara angelazimisha fedha zingeenda kwenye vitu vingine na usisahau kua fedha za kujenga hazitafutwi na waziri wa ujenzi ni Ofisi ya RAIS pamaoja na wizara ya fedha japo kuna maduhuli pia.Nikumbushe tu kabla ya JPM kuingia madarakani alizikuta shule,Vyuo vikuu,viwanda kadhaa binafsi,Bandari,Majengo mengi ya serikali na vingine vingi vilivyokua nje ya wizara ya ujenzi na uchukuzi nchi sio uchumi wa nchi wa ujenzi na uchukuzi pekee yake ni suala mtanziko.
ndo upumbavu wa watu wa Chatogang na Sukumagang! Kule ukiwa mawanamke mzee unauwawa kwa kashfa za uchawi! Yaani kabisa mwanamke aliyejikomboa kifikra na elimu yake mwenye hata uwezo wa kuongea lugha ya kigeni unadiriki kumsema hafikii PHD iliyoshindwa kuongea lugha aliyosomea! Nilishawaona upuuzi wao ndo maana nikaukataa!
 
City status

1397466B-3319-446A-B4FC-728AB7105352.jpeg
FE5CCF08-2F3D-4193-83FE-1C8C5B0BD9E8.png
7A67D31E-1542-40CB-B4D7-44EDC62A2F8E.png
 
Yeah huyo tumuacheni tu aweke siasa but cc tusim quote cz hatuna uwezo wa kumtoa, hata mods pia hawana uwezo wa kumtoa kwasababu kila mtu ana haki ya kusema atakacho ilimradi tu asivunje sheria za JF.

Hatumkatazi kuweka kile kinachompendeza tatizo jamaa ana visasi, utakuta anaweka habari nzuri tu kuhusu Rais Samia lkn mwisho lazima aweke maneno ya visasi which means yeye mwenyewe kuna baadhi ya mambo yanayofanyika serikalini hakubaliani nayo ila tu ni kwasababu ana visasi na ndiyo maana anaweka maneno flani flani ya kujiliwaza na kusubiri kuona kama kuna mtu atakereka zen yeye apate relief, so dawa yake ni kumpotezea tu ili akale alipopeleka mboga.
 
Hivi mbona magufuli anaabiwa namna hii? Mzee Malaika nadhani watu wakubali kulikuwa na positive na negative zake na zijadiliwe kimapana! Kibiashara nampa 0/10!
 
Back
Top Bottom