Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo siku nzuri ya kwenda Mbudya Island in Dar es slaaam.
GOPR7957.jpg

GOPR7957.jpg

GOPR7939.jpg
 
Kuhusu watu wanaoibishana kuhusu JPM na Samia, nitoe maoni yangu

Nianze kwa kusema "Rais akifanikiwa, Nchi hufanikiwa".

Ufanano wa JPM na Samia, Kusema Kweli huwezi ukalinganisha Uwezo wa Magufuli na Samia, Kuanzia Kichwani hadi Moyoni. Magufuli alikuwa moja ya watu wenye uwezo mkubwa kichwani na pia ujasiri mkubwa moyoni, Samia hakuna hata kimoja atamfikia (Magufuli ni moja ya watu welevu Tanzania imewahi kuwashuhudia, pia nikeelelezo Tanzania kuna watu welevu kuliko Kenya na Sehemu nyingi za Dunia).

Utendaji, Mama Samia, Kikwete hata Mkapa walipata kufanya kazi na Magufuli akiwa kama Waziri wao, kuna watu wanasema Kikwete ndio alijenga Barabara nyingi kuliko Magufuli, nasema hivi Kama Magufuli asingekuwa Waziri wa Kikwete au Kuwa waziri kama akina Sospeter Muhongo, Basi Tanzania tungekuwa tuna Barabara chache na Mbovu Africa nzima, Watu wanasema Miradi mingi ya Ujenzi iliyoanzishwa awamu ya 5 na iyoendelea awamu ya sita (Nasikitika Awamu ya Sita hakuna mpango wa mradi Mpya, so sad), ilianzia awamu za nyuma, mfano SGR, Salender Bridge, Tazara Bridge, e.t.c, Ukweli ni kwamba hii miradi iliasisiwa na Magufuli Tangu akiwa Waziri, matatizo yalikuwa kwenye viongozi waliokuwa na Maamuzi ya mwisho.

Kama hii miradi ilianzia kwa Kikwete kwa nini alishindwa kuondoka Madarakani ameacha hata tofali moja site?, Watu wanasema Kikwete alileta prosperity ya Watanzania kuliko Magufuli, huu ni uwongo mkubwa wa Kisiasa, tukumbuke Kipindi cha Kikwete Shirika la Nyumba (Kama sijakosea) walianzisha Mradi wa Kifisadi wa Dege Eco city wakati Mara Kuna Hospitali ya Kongwa ilikaa miaka zaidi ya 30 kama Gofu, Magufuli akasema HAPANA hatuwezi tukawekeza kwenye Mradi ambao unawasaidia watu 2 na kuacha jambo ambalo litasaidia Mamilioni ya Watu, Kikwete alishauri Tanzania Badala ya Kujenga SGR mpya, irekebishe Njia ya zamani ya Reli ya Mjerumani Kwa Gharama sawa na kujenga Reli Mpya, Magufuli akasema Hapana tunajenga Reli Mpya.

Kikwete, Mwinyi, na Mkapa wa mekaa miaka 30 Madarakani hawakujenga wala kuhamasisha kujenga Smelter wala Refinery ya Madini, ila Magufuli alisema hapana hatuwezi kuwa tunauza Raw Materials nje tu. Magufuli alisisitiza hatuwezi tukawa tunauza Korosho nje kama raw material alafu tunaletewa bidhaa alafu tunanunua kwa gharama kubwa alafu tunachekelea, mfano Korosho zinazouzwa TSH 1000 kwa machinga Dar es salaam, zinauzwa Kenya kwa TSH 6000 - 9000. (Bahati mbaya wanasiasa wasiokuwa na Vision wakampinga sana).

Kuna mtu anasema Mama Samia anapaendeleza Dodoma kuliko Magufuli, bila shaka huyu atakuwa ni (Msemaji wa Serikali), Tanzania imepitisha azimio kuwa Dodoma itakuwa makao makuu tangu 70s wakapita akina Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete hakuna hata mmoja aliyeweza kusema now tutaijenga Dodoma, ila Magufuli akasema hapana, lazima tupajenge tutakaa hata kwenye Mabati (Miaka 20 - 30) Dodoma ikiendelea kwa Kasi ya Sasa, itakuwa Mmoja kati ya miji 3 ya kisasa Africa, na hili wote tutamkumbuka Magufuli, bila kujua kama Samia aliwahi kuwa Rais (Kwa sababu, ametembelea nje ya nchi kuliko alivotembelea mikoa yetu, tunasahau hata kama hukaa Dodoma)

Legacy, Japo hadi leo naumia nikigundua ukweli kuwa Mafuguli hayupo tena, wala hatutasikia amri yake tena, ila niseme jambo moja Utawala wa miaka 5 ya Magufuli ni sawa na Miaka 30 ya Marais waliopita na Aliyoyafanya na kuyaacha yataishi miaka 50 na 100 ijayo, tutakapo kuwa tunapita na wajukuu au vitukuu vyetu kando kando ya SGR tutakuwa tunawaadithia hii ilijengwa na Rais alikuwa anaitwa Magufuli, Kumlinganisha Magufuli na Mama Samia kwa kumkweza Mama Samia utahitaji nguvu nyingi kuliko kukutana na Jambo ambalo limefanywa na Magufuli
I'M sorry to say umeandika paragraph nyingi sana lakini ulichoandika haki reflect kama aliyeandika ni msomi au mtu anayefuatilia mifumo ya serikali kiutendaji.Umeanza kwa kulinganisha magufuli na samia kiakili na kiutendaji unasema samia hamfikii Magufuli kwa kila kitu,Msomi hawezi kuja na mawazo ya mtindo huo hasa unapocompare leadership.Leadership sio akili kichwani au utendaji mzuri is all about vision,chosing the best style kulingana na wakati husika.Style ya samia kiuongozi na JPM kwa vyovyote hawawezi fanana sana japo kuna vitu vitafanana.Style ya uongozi huja na mtazamo wa kiongozi kwa anaowaongoza pia.Hivyo unapaswa kuchambua style zao za uongozi na kusema ipi inafaa kwa TANZANIA.Hoja yako ya kusema kama sio Magufuli barabara sisingejengwa kwa wingi wakati wa JK ni hoja MFU kabisa, unasahau kua serikalini kuna vipaumbele vinavyoenda kulingana na wakati kama kikwete asingependa barabara angelazimisha fedha zingeenda kwenye vitu vingine na usisahau kua fedha za kujenga hazitafutwi na waziri wa ujenzi ni Ofisi ya RAIS pamaoja na wizara ya fedha japo kuna maduhuli pia.Nikumbushe tu kabla ya JPM kuingia madarakani alizikuta shule,Vyuo vikuu,viwanda kadhaa binafsi,Bandari,Majengo mengi ya serikali na vingine vingi vilivyokua nje ya wizara ya ujenzi na uchukuzi , uchumi wa nchi sio ujenzi na uchukuzi pekee yake, ni suala mtanziko.
 
Back
Top Bottom