Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,523
Likoni Bridge iliyokuwa ianze April 2017 vipi?Mazungumzo mazungumzo mazungumzo.
Likoni Bridge iliyokuwa ianze April 2017 vipi?Mazungumzo mazungumzo mazungumzo.
The United Mall, Kisumu. this is a photo of one out of the 11 malls within kisumu city, i took recently
😅 😅 😅 🤷♂️ 🤷♂️ 🤷♂️ 🤷♂️Likoni Bridge iliyokuwa ianze April 2017 vipi?
Wekeni picha basi, hivi serikalini hakuna watu wa kimikakati wa kutangaza na kupiga picha HQ za vitu kama hiviWameiwasha na taa, aisee panapendeza, I can’t wait unaunganisha na daraja mpaka coco….what an ocean drive.
sikuizi hata yule jamaa aliyekuwa yupo vizuri kutuletea mambo ya sgr wamemtoa sijui ? Wameweka watu wasio jua kutangaza wala kupiga picha vizuri
Ukitoka hapo unakutana na Baiskel Zinasubiria AbiriaThe United Mall, Kisumu. this is a photo of one out of the 11 malls within kisumu city, i took recently View attachment 1950209View attachment 1950211View attachment 1950210
Sasa ulifikiri nini kufanya hiyo michezo michafu ,kisha ukategemea usinuke acha kugawa ccmKachambe kwanza umetoka kuliwa mtaro wako wa huko nyuma unananuka pumbavu.
Ukimaliza kuchamba ndio uje ku comment


Una pollute jukwaa kachambe mtaro ndio urudi ku commentSasa ulifikiri nini kufanya hiyo michezo michafu ,kisha ukategemea usinuke acha kugawa ccm![]()
Kibaraka wa kigogo ndiye aliye kuwa anavujisha siri za nchi,tulikuwa tunajiuliza siri za ikulu zinavujaje kumbe ni delila
Waandishi uchwara na mashabiki wao..JK alikuwa anatumiwa mara nyingi tuu kwenye shughuli za kimataifa na Mwendazake..Ex-president Kikwete returns to the fore as Suluhu Hassan's mentor and messenger
September 14, 2021
![]()
Spotlight TANZANIA Issue dated 14/09/2021
![]()
Jakaya Kikwete. © Luiz Rampelotto/EuropaNewswire/picture alliance / Luiz Rampelot/Newscom/MaxPPP
After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant. [...]
![]()
TANZANIA • Ex-president Kikwete returns to the fore as Suluhu Hassan's mentor and messenger - 14/09/2021 - Africa Intelligence
After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant. - 9/14/2021www.africaintelligence.com
Jinga kabisa wewe dume zima unagawa ccmUna pollute jukwaa kachambe mtaro ndio urudi ku comment


ccm nje nje

🖕🖕Unasuguliwa mtaro ndio maana hutuliiJinga kabisa wewe dume zima unagawa ccm![]()
ccm nje nje
![]()
Mshauri wa mwendazake alikuwa nani? Kagame au?Waandishi uchwara na mashabiki wao..JK alikuwa anatumiwa mara nyingi tuu kwenye shughuli za kimataifa na Mwendazake..
Mara kadhaa wamekutana Ikulu nk lakini JK hakuwahi acha kurusha vijembe kwa Mwendazake akiona anavuka Mipaka hadi Mwendazake akaanza kusema mara ooh Sijui wanawashwa washwa mara sijui mniachw nk..
Ni hivi JK ni Mwanausala muandamizi na siasa kaanza.toka enzi ya Mwalimu huwezi kumkwepa kwenye masuala ya utawala uwe unampenda au humpendi..
Good enough kwa sasa ndio Kiongozi mstaafu pekee aliyeko kutoa muongozo na ushauri pale inapobidi na Rais Samia lazima ata muapproach kuomba ushauri kwake,Mwinyi ni Mzee anapoteza kumbukumbu..
Hata usipomuomba Ushauri anakuacha kwani lazima? Kwanza ana ahughuli nyingi za kufanya Duniani Sio Kama wale wengine useless ukitoka madarakani habari Yako inakuwa imekomea hapo..
"Kisumu dalla"Ukitoka hapo unakutana na Baiskel Zinasubiria Abiria