Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

watu wanamchukia mama wako so wrong u can't be the master of all trades!

JPM alikuwa mzuri kwenye infrastructure ila mama ni mzuri kwenye trade/business/commerce! Yaani budget yake imegusa kila mahali (6 months in power) ila watu wanampinga! Na mama kamrudisha Prof. Mbarawa Ujenzi na Uchukuzi maana alijipambanua vizuri alipokuwa pale!

Jamani mambo mazuri hayataki papara!
neno hili
 
MY TAKE
Kuna wengine walizuia kabisa summits na conferences na wakati huohuo wakijua sehemu kama Arusha na Zanzibar zikitegemea utalii unaoingiza karibu $4 bln (pamoja)! isitoshe wakaanzisha mbuga vijijini kwao na kuwekeza pesa ndefu kwao! Pia alitoa ruksa wamachinga kutandika biashara zao mbele ya maduka yanayolipa kodi stahiki! Truth to be told biashara was purely not his trade![/QUOTE]Mbona kazi inaendelea mkuu, ona hii ya wababe wa technoloji iliisha wiki iliyopita, ingawaje ilikua virtually lakini ilivuta wabobezo wa dunia nzima....

 
Mbona kazi inaendelea mkuu, ona hii ya wababe wa technoloji iliisha wiki iliyopita, ingawaje ilikua virtually lakini ilivuta wabobezo wa dunia nzima....


Nisome vizuri kaka utaona nilichomaanisha! Mama ana-promote utalii anajua 17% ya GDP Tanzania inatoka humo! Na ameshaondoa na tozo kwa muda! Tulikuwa tunakaribia 2 mln tourists sasa utalii umeshuka sana! Na kuurudisha inahitaji jitihada za ziada la sivyo tutabaki hapahapa!
 
TAKE
Kuna wengine walizuia kabisa summits na conferences na wakati huohuo wakijua sehemu kama Arusha na Zanzibar zikitegemea utalii unaoingiza karibu $4 bln (pamoja)! isitoshe wakaanzisha mbuga vijijini kwao na kuwekeza pesa ndefu kwao! Pia alitoa ruksa wamachinga kutandika biashara zao mbele ya maduka yanayolipa kodi stahiki! Truth to be told biashara was purely not his trade!
Mbona kazi inaendelea mkuu, ona hii ya wababe wa technoloji iliisha wiki iliyopita, ingawaje ilikua virtually lakini ilivuta wabobezo wa dunia nzima....


safii, unajua kuna biashara zinaendana pamoja kama kuuza vito na utalii! Vinahitaji a "give and take" approach na si ubabe! Yaani punguzo la tozo za utalii ili watalii waje halafu wanunue na vito pia!
 
This is so satsfying to see
Screenshot_20210924-135118_Flightradar24.jpg
 
waanzishe pia routes za Zanzibar-Nairobi, Zanzibar-Mombasa, Dar-Mombasa, Mwanza-Nairobi, Mwanza-Mombasa, Kilimanjaro-Mombasa!

BTW sijui kwanini fast ferries za Dar-Zanzibar hazifiki Mombasa?

Viability Mkuu, that Mombasa thing is highly overrated, bakharesa angeshaanza hiyo route kitambo sana, no wonder hakuna flights za Mombasa to the world kama ilivyo KIA na Z’bar
 
Back
Top Bottom