The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Huyo hana chuki isipokuwa ni kibaraka tu huyo achana naye.Mtu unasemaa ana wazo la biashara ilhali alikuaanaboresha bandari za Tanzania na reli zilizokua zimekufa ili kupunguza dominace ya bandari ya mombasa in East Africa, nishakumbia chuki zako zimepunguza uwezo wako wakufikiri, mtu huyo huyo aliamua kujenga jnhp ili gharama za umeme zije chini ili kuvutia wawekezaji

yatosha