Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I'M sorry to say umeandika paragraph nyingi sana lakini ulichoandika haki reflect kama aliyeandika ni msomi au mtu anayefuatilia mifumo ya serikali kiutendaji.Umeanza kwa kulinganisha magufuli na samia kiakili na kiutendaji unasema samia hamfikii Magufuli kwa kila kitu,Msomi hawezi kuja na mawazo ya mtindo huo hasa unapocompare leadership.Leadership sio akili kichwani au utendaji mzuri is all about vision,chosing the best style kulingana na wakati husika.Style ya samia kiuongozi na JPM kwa vyovyote hawawezi fanana sana japo kuna vitu vitafanana.Style ya uongozi huja na mtazamo wa kiongozi kwa anaowaongoza pia.Hivyo unapaswa kuchambua style zao za uongozi na kusema ipi inafaa kwa TANZANIA.Hoja yako ya kusema kama sio Magufuli barabara sisingejengwa kwa wingi wakati wa JK ni hoja MFU kabisa, unasahau kua serikalini kuna vipaumbele vinavyoenda kulingana na wakati kama kikwete asingependa barabara angelazimisha fedha zingeenda kwenye vitu vingine na usisahau kua fedha za kujenga hazitafutwi na waziri wa ujenzi ni Ofisi ya RAIS pamaoja na wizara ya fedha japo kuna maduhuli pia.Nikumbushe tu kabla ya JPM kuingia madarakani alizikuta shule,Vyuo vikuu,viwanda kadhaa binafsi,Bandari,Majengo mengi ya serikali na vingine vingi vilivyokua nje ya wizara ya ujenzi na uchukuzi , uchumi wa nchi sio ujenzi na uchukuzi pekee yake, ni suala mtanziko.
We nae peleka upumbavu wako mbali tushasema tunaachana na haya mambo ya siasa, wewe ndio yule yule nakujua sema umekuja na id nyingine, wewe nenda kapambane kwenye ile battle ya Njombe vs Arusha sijui bukoba.
 
Mwanza the RockCity
IMG_2552.jpg
 
Back
Top Bottom