Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,913
- 103,781
ndio najua ila naongelea taking recovery measures tangu mwaka jana watu wa utalii unaochangia 17% ya pato la Taifa waliomba punguzo la tozo! Jamaa akawa kimya! Yaani kama si kupanda bei ya dhahabu tungekuwa pabaya sana! ndo maana nasema kila mtu ana mazuri yake na biashara was not his strength! Yeye alikuwa mtu wa ujenzi tu! Na mama analeta sura nyingine ambayo inadharaulika sasa ila ina future nzuri kwetu ukichanganya na alichofanya marehemu! Ile miradi inahitaji usimamizi wenye ufanisi, kuanzia uendeshaji wa reli na Air Tanzania! That's my opinion and ask any economist will tell u the same!Mara hii umesahau corona ilivyoharibu utalii duniani kote, tena huwa unaipigia chapuo "chanjo" kila siku hapa?