Sasa nyie kumbe mnachukua mikopo ya ndani kulipa external debts.Tanzania updates my foot, nynyi external debts ndio mumejaza katika madeni yenu..
Nchi maskini
😁😁😁😁😁😁😁Tanzania updates my foot, nynyi external debts ndio mumejaza katika madeni yenu..
Nchi maskini
Vipi kuhusu mama mbona kila siku anatembea ataanza kazi linihttps://media.tenor.com/images/67cd158abbbd43a2520e3c1de2ea2f14/tenor.gifHivi viwanda kila siku vinatembelewa sasa sijui vitaanza Kazi lini
Kazi ya kuwaletea maendelea wa Tzn inaendelea na Mama 👇Vipi kuhusu mama mbona kila siku anatembea ataanza kazi linihttps://media.tenor.com/images/67cd158abbbd43a2520e3c1de2ea2f14/tenor.gif
kabisa mkuuNi kutoquote tu. Thread iwe clean, Battle Battle.
tumekubaliana mkuu,achana na huyo jamaa chief,akishobokewa ndiyo anapata kichwa,anatuharibia uzi huwa hana hoja nyingine zaidi ya siasaVipi kuhusu mama mbona kila siku anatembea ataanza kazi linihttps://media.tenor.com/images/67cd158abbbd43a2520e3c1de2ea2f14/tenor.gif
Poa kakatumekubaliana mkuu,achana na huyo jamaa chief,akishobokewa ndiyo anapata kichwa,anatuharibia uzi huwa hana hoja nyingine zaidi ya siasa
Nilikwambia usome kimya kimya bila kelele plz 😁😁😁😁😁Mazungumzo mazungumzo mazungumzo.
Hii nchi sijui inashida gani 😳😳😳
Kale kapicha chao cha kapumbu kikibinywa kikowapi kiwekwe hapo kwenye madeni ya kenya kwa mchina.kukopa raha ila kulipa matanga.. mchina kamatia hapohapo[emoji382][emoji382]..
afu mwakani wana uchaguzi [emoji38]
hawa jamaa wasipoachia bandari yao kwa wachina! sijui!
Unapingana na takwimu au unaleta ligi tuu bila facts as usual.Tanzania updates my foot, nynyi external debts ndio mumejaza katika madeni yenu..
Nchi maskini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] America hamna vibao vya jua kali kama hivyo hapo.America au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]