Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,146
- 79,300
Usiwe mpuuzi nawe nimesema kwenye ujenzi ilikuwa strength yake ila biashara ilikuwa weakness yake! Mimi siabudu personalities bali naeleza ilivyo na nime-back up nilichosema angalia wamachinga wale wa vitambulisho vya 20,000 visivyo na picha wala utambulisho wa mmiliki (biometric identification system) wake walivyoharibu maduka ya watu wanaolipa pango na kodi kubwa! Haihitaji akili kuliona ilo! kama unalazimisha alikuwa mzuri kwa biashara mbona asitoe relief kwa tourism stakeholders ambao wana-contribute 17% ya GDP ambao sector yao imepoteza kazi zaidi ya 100,000 na mahoteli kupigwa minada? Au kununua ndege bila kuulinda utalii pia ni akili ya biashara? mwacheni mama ajaribu kivingine!