Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni asilimia ngapi ya vyumba vilivyopata wateja kwa maghorofa yaliyojengwa na Nssf kipindi cha Dr. Dau?
Japo huu mradi wa nssf kijichi uligubikwa na ufisadi lakini at least shirika likiwa na uhitaji wa hela wanaweza uza property yao na ku recoup some money lakini kiwanda kikipata loss utauza nini?
 
Hata hiyo $500 ni kubwa sana kama aliweza kuhakikisha inabaki kipindi hiki cha korona. Unaweza nipa mapato ya utalii wa South Africa and Morocco, nchi mbili zinazo ongoza kwa kupata over 10M tourists year na mapato ya $7B?

Anyway, nikiwa shule mbumbumbu mimi nilifundishwa 'relation'.

Relation: direct and indirect.

Mwalimu alichukua GLASS, akaiweka MAJI, halafu akaiweka GLASS ya MAJI kwenye MEZA.

Akatutazama na kutuambia: "The water is IN the glass, and the glass of water is ON the table."

Any smarter person would easily acknowledge the 'indirect relation' (between water in the glass and the table) existing under circumstances of interdependence

So, mtu akichukua ile glass na kunywa yale maji na kurudisha glass tupu kwenye meza, the 'indirect relation' inakufa na kubaki relation 'ON' kati ya meza na glass, tu.

it takes more than buying jets! Mama knows what tourism promotion is! Yule alikuwa fundi mjenzi ila kwenye biashara haikuwa field yake! So endeleeni kumponda mama humu na mimi naponda kule! It takes the whole package AND NOT mihemko! From $2.5 bln before to around $500 mln 2020 and yet tozo zilibaki! Yaani kama si soko la dhahabu kupanda sijui tungekuwa wapi!
 
Leadership is how u rise up from calamities, it's how u stand up when brought down to ur knees. Its how u come up with recovery plans! Ofcourse, He did not have any! The tourism stakeholders pleas got to deaf ears! Just like he promoted agriculture na asiyefanya kazi na sile he needed to cushiona and promote tourism too!

😂😂

He never had any?? Tatizo la utalii limesababishwa na nini kama sio Corona? Na Tanzania ya Magufuli ndio moja ya nchi pekee ilioyo ruhusu Watalii.

Hivi Magufuli analumiwa vipi hapa, asingeruhusu Watalii hali ingekuwaje?

Ange lockdown nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa hali ya Mtanzania ingekuwaje?

Unaona biashara kubwa zilivyokufa, South? Over 50% ya kazi za tourism zimekufa South Africa. Tanzania imepoteza kwa percentage hiyo?

Maamuzi aliyochukua ni ya kijeshi na magumu mno na yamesaidia sana nchi na sectors nyingi.

Let him rest in peace.
 
mapato ya utalii from $2.5 bln to 500 mln itakuwa percent ngapi?
 
Jamaa mbona mnaleta matusi jamani, ama great thinkers siku hizi wamejeuzwa kuwa mazezeta na mizimu yao kule burigi..
Emu acheni matusi bana, mtatia na wengine kulichukulia hili km sababu ya kusepa kwanza hadi kupoe
 
Kuhusu watu wanaoibishana kuhusu JPM na Samia, nitoe maoni yangu

Nianze kwa kusema "Rais akifanikiwa, Nchi hufanikiwa".

Ufanano wa JPM na Samia, Kusema Kweli huwezi ukalinganisha Uwezo wa Magufuli na Samia, Kuanzia Kichwani hadi Moyoni. Magufuli alikuwa moja ya watu wenye uwezo mkubwa kichwani na pia ujasiri mkubwa moyoni, Samia hakuna hata kimoja atamfikia (Magufuli ni moja ya watu welevu Tanzania imewahi kuwashuhudia, pia nikeelelezo Tanzania kuna watu welevu kuliko Kenya na Sehemu nyingi za Dunia).

Utendaji, Mama Samia, Kikwete hata Mkapa walipata kufanya kazi na Magufuli akiwa kama Waziri wao, kuna watu wanasema Kikwete ndio alijenga Barabara nyingi kuliko Magufuli, nasema hivi Kama Magufuli asingekuwa Waziri wa Kikwete au Kuwa waziri kama akina Sospeter Muhongo, Basi Tanzania tungekuwa tuna Barabara chache na Mbovu Africa nzima, Watu wanasema Miradi mingi ya Ujenzi iliyoanzishwa awamu ya 5 na iyoendelea awamu ya sita (Nasikitika Awamu ya Sita hakuna mpango wa mradi Mpya, so sad), ilianzia awamu za nyuma, mfano SGR, Salender Bridge, Tazara Bridge, e.t.c, Ukweli ni kwamba hii miradi iliasisiwa na Magufuli Tangu akiwa Waziri, matatizo yalikuwa kwenye viongozi waliokuwa na Maamuzi ya mwisho.

Kama hii miradi ilianzia kwa Kikwete kwa nini alishindwa kuondoka Madarakani ameacha hata tofali moja site?, Watu wanasema Kikwete alileta prosperity ya Watanzania kuliko Magufuli, huu ni uwongo mkubwa wa Kisiasa, tukumbuke Kipindi cha Kikwete Shirika la Nyumba (Kama sijakosea) walianzisha Mradi wa Kifisadi wa Dege Eco city wakati Mara Kuna Hospitali ya Kongwa ilikaa miaka zaidi ya 30 kama Gofu, Magufuli akasema HAPANA hatuwezi tukawekeza kwenye Mradi ambao unawasaidia watu 2 na kuacha jambo ambalo litasaidia Mamilioni ya Watu, Kikwete alishauri Tanzania Badala ya Kujenga SGR mpya, irekebishe Njia ya zamani ya Reli ya Mjerumani Kwa Gharama sawa na kujenga Reli Mpya, Magufuli akasema Hapana tunajenga Reli Mpya.

Kikwete, Mwinyi, na Mkapa wa mekaa miaka 30 Madarakani hawakujenga wala kuhamasisha kujenga Smelter wala Refinery ya Madini, ila Magufuli alisema hapana hatuwezi kuwa tunauza Raw Materials nje tu. Magufuli alisisitiza hatuwezi tukawa tunauza Korosho nje kama raw material alafu tunaletewa bidhaa alafu tunanunua kwa gharama kubwa alafu tunachekelea, mfano Korosho zinazouzwa TSH 1000 kwa machinga Dar es salaam, zinauzwa Kenya kwa TSH 6000 - 9000. (Bahati mbaya wanasiasa wasiokuwa na Vision wakampinga sana).

Kuna mtu anasema Mama Samia anapaendeleza Dodoma kuliko Magufuli, bila shaka huyu atakuwa ni (Msemaji wa Serikali), Tanzania imepitisha azimio kuwa Dodoma itakuwa makao makuu tangu 70s wakapita akina Mwinyi, Mkapa na hata Kikwete hakuna hata mmoja aliyeweza kusema now tutaijenga Dodoma, ila Magufuli akasema hapana, lazima tupajenge tutakaa hata kwenye Mabati (Miaka 20 - 30) Dodoma ikiendelea kwa Kasi ya Sasa, itakuwa Mmoja kati ya miji 3 ya kisasa Africa, na hili wote tutamkumbuka Magufuli, bila kujua kama Samia aliwahi kuwa Rais (Kwa sababu, ametembelea nje ya nchi kuliko alivotembelea mikoa yetu, tunasahau hata kama hukaa Dodoma)

Legacy, Japo hadi leo naumia nikigundua ukweli kuwa Mafuguli hayupo tena, wala hatutasikia amri yake tena, ila niseme jambo moja Utawala wa miaka 5 ya Magufuli ni sawa na Miaka 30 ya Marais waliopita na Aliyoyafanya na kuyaacha yataishi miaka 50 na 100 ijayo, tutakapo kuwa tunapita na wajukuu au vitukuu vyetu kando kando ya SGR tutakuwa tunawaadithia hii ilijengwa na Rais alikuwa anaitwa Magufuli, Kumlinganisha Magufuli na Mama Samia kwa kumkweza Mama Samia utahitaji nguvu nyingi kuliko kukutana na Jambo ambalo limefanywa na Magufuli
 
Hawa ndio aina ya viongozi tunahitaji waafrica ili tupige hatua mbele.
 
Thread imegeuzwa kutoka Kenya Vs Tanzania hadi Samia vs Magufuli majirani wamejiweka pembeni ndugu wanagombana maajabu.
 
State boosts local vehicle assembler with military deal

BUSINESS
By Vivianne Wandera | September 25th 2021​

yxcli7bstqfcd1fyv18a614dfdb96340d.jpg

The government saves a billion by buying locally manufactured cars for disciplined forces.
Kenya is expected to save about Sh1 billion by buying locally-made vehicles for the military in a deal where Associated Vehicle Assemblers (AVA) will deliver 300 vehicles at an average cost of Sh2.5 million.
This will cost the government Sh750 million, saving cash that would have been spent on expensive imports.

Trade and Industrialisation CS Betty Maina visited the AVA plant on Thursday during a tour of the Kilifi Export Processing Zone. The plant was opened in 1975.

“The automotive (industry) is a critical sector that the president is passionate about and has driven the formulation of the national automotive policy whose results we are starting to see.
“That policy has the ambition of creating a very vibrant motor sector in Kenya,” she said.
AVA assembles multiple brands of vehicles, among them Daimler, known for production of luxury Mercedes Benz and BMW cars.
Other brands include Tata, Volvo, Scania and Toyota.
Manufacturing has remained a key part of the government’s Big Four Agenda, with the sector staying resilient despite the harsh effects of the coronavirus pandemic.
AVA currently has a rolling order from the National Police Service to manufacture 132 Mahindra cars.
“The speed of production is moderated to meet the highest international standards and these skills are transferred to the over 370 local employees,” the firm said in a presentation released by State House during the Kilifi tour.
Further, in a bid to promote local industry, the State stopped importing boots for the disciplined forces.
Last year, local firm Umoja sold 22,000 pairs of boots to the government at Sh66 million, which would have cost Sh176 million if imported.
 
Wadanganyika ni mashoga tu hadi wenye wako hapa no wonder ni wajinga.
Screenshot_20210925-085437.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210925-085412.jpg
    Screenshot_20210925-085412.jpg
    39.2 KB · Views: 3

He never had any?? Tatizo la utalii limesababishwa na nini kama sio Corona? Na Tanzania ya Magufuli ndio moja ya nchi pekee ilioyo ruhusu Watalii.

Hivi Magufuli analumiwa vipi hapa, asingeruhusu Watalii hali ingekuwaje?

Ange lockdown nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, South Africa hali ya Mtanzania ingekuwaje?

Unaona biashara kubwa zilivyokufa, South? Over 50% ya kazi za tourism zimekufa South Africa. Tanzania imepoteza kwa percentage hiyo?

Maamuzi aliyochukua ni ya kijeshi na magumu mno na yamesaidia sana nchi na sectors nyingi.

Let him rest in peace.

achana na haya mambo mkuu.. usiquote post yoyote .. tuwapuuze.. tushaona walivyopost nyuma afu saiz wamekuwa vigeugeu.. zipo nying ila zile ni baadhi! tuendelee na mambo mengine
 
Usiwe mpuuzi nawe nimesema kwenye ujenzi ilikuwa strength yake ila biashara ilikuwa weakness yake! Mimi siabudu personalities bali naeleza ilivyo na nime-back up nilichosema angalia wamachinga wale wa vitambulisho vya 20,000 visivyo na picha wala utambulisho wa mmiliki (biometric identification system) wake walivyoharibu maduka ya watu wanaolipa pango na kodi kubwa! Haihitaji akili kuliona ilo! kama unalazimisha alikuwa mzuri kwa biashara mbona asitoe relief kwa tourism stakeholders ambao wana-contribute 17% ya GDP ambao sector yao imepoteza kazi zaidi ya 100,000 na mahoteli kupigwa minada? Au kununua ndege bila kuulinda utalii pia ni akili ya biashara? mwacheni mama ajaribu kivingine!
 
Back
Top Bottom