Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali gani ya kipuuzi haijawahi kutimiza ahadi iliyosema, yn ni upuuzi kushoto kulia, serikali imejaza wajinga kwenye system, hakuna agizo hata moja lililofanyiwa kazi ni upuuzi tu na kutembelea nyota ya JPM.
Apo kwenye magizo kutofanyiwa kazi...kiukweli imekuwa kama kasumba sasa sijui tatizo nin?
 
CCM iwe tayari nayo siku ikinyukwa si kuwa bingwa wa kusimamia mabadiliko nchi nyingine tu!
Kwani apo zambia aliye chukua nchi ni mpinzani ? Apo akuna kilicho badilika zaidi ya walio kuwa chama tawala wamerudi madarakani....swali la msingi ni kwanini Zambia chama cha upinzani kimeshindwa kutimiza majukumu? Vyama vya upinzani Tz vina kitu cha kujifunza apo....
 
Kilichobaki ni kulazimisha machanjo machanjo machanjo ili kupata pesa za bure pumbavu kabisa, yn tunatoka kwenye misingi matozo kila kukicha, masafari safari yasiyokuwa na mpango wowote na tena unatumia ndege kubwa kabisa yn safari moja tu unajenga road ya changarawe kijijini, tuna katiba mbovu sana.
Mkuu mbona umewaka hivyoo
 
Acha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.

Tzn hapa kuna propaganda nyingi Sana wakati uhalisia ni zero,yaani miaka 5 serikali inajenga km 2500 za lami ndio uwekezaji mkubwa? Hadi sasa hivi mikoa kibao ina mavumbi bado afu mtu anasema mambo makubwa ,yapi hayo?

Matilioni ya air Tzn yamezalisha nini zaidi ya hasara?
Ivi ww iyo ubongo wako inafany nini hasa ya mana...?kwanza niambie ni wapi serikali haijawekeza Tz hii kuanzia majini,angani ardhini tena hapa ni kwa rail na barabara
Kwa miaka mitano zimejengwa km 3500 unaweza niambia nini ww kizuuu ...apo Ghana kitu wamefanya ni kujenga interchange na accra na kumasi kwaiyo kwa iyo kichwa ya funza unaona ndio tumezidiwa?
Umeme umenezwa mpka vijijini ww unasema nini?
Kwaiyo kwa akili yako mtumba sabab rail ya kenya ni ghali kuliko ya Tz manake kenya uchumi umekuwa?
Wacha kujingiza kwenye vitu usivyo kuwa na uelewa navyo
 
Wadau wa ndege wanasema mama ana komoa nchi kwa makusudi mzanzibar awezi kujali JMT hata siku moja sijui kama hii miaka 4 iliyo baki atamaliza
maana hadi kwenye majeshi ameanza kuchukiwa sana very very soon kunakitu kitatokea
Izi ni kashfa kubwa mzee zinaitaji uthibitisho
 
Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tu

Wale jombi wanauza dhahabu na kokoa sio mchezo mzee Ghana wapo vizuri ondoa wivu anglia kwa jicho la uhalisia
 
Wale jombi wanauza dhahabu na kokoa sio mchezo mzee Ghana wapo vizuri ondoa wivu anglia kwa jicho la uhalisia
Hamna nchi ina mfumo mbovu wa Uchumi kama Ghana umesahau wanazalisha mafuta pia ila wana debt to GDP ratio ya around 75% yaani wanashindana na Kunyaland! Pitia sources uone!





 
Ndio kutoka growth ya 7% (2015) hadi 4(2019). The same to FDI kutoka @$1b (2016) hadi below hiyo mark kwa miaka yote 5 ni juzi tuu alivyoingia Samia ndani ya miezi 4 FDI zimefika hiyo mark na humu JF taarifa zipo usijifanye hamnazo.

Miradi ya Magu hakuna uliokamilika ukaanza kuleta tija so far,alichocheza vizuri ilikuwa sekta ya Madini ya gold tuu.
We mgao wa umeme bongo unajifanya umesahau eeh labda kama hukai bongo mzee
 
Niko negative au na crash sera mbovu za Uchumi za Mwendazake? Nasema hivi 5 years ago it was a wastage , uchumi ulianguka serikali ilitegemea mikopo na kupora pesa za watu huku ikilisha wajinga waliojazana nchi hii propaganda.

Uchumi ndio sasa unaanza ku rebound sasa na hakuna mtu anaporwa pesa na imani ya business community imerudi sasa wait utaona maisha yanaenda bila kukunja ndita na kufokeana.
ukisikia mwehu ndio huyu sasa
 
Mapendekezo yametolewa Sana ila maccm huwa yanafanya mambo ambayo itawaletea sifa na kura kwa wajinga hata kama haiwasaidii.

Tumependekeza Sana lakini ccm haielewi kwa mfano washushe VAT hadi 12% kutoka 18% Ili tutumie zile mashine zao kwenye biashara.

Tumesema ccm ipunguze mlokongo wa mataasisi ya udhibiti imagine ukitaka kufanya biashara Halali ya let say timber supplier haitakaa upate kitu ,hapo fire,tfs,TRA,wakala wa vipimo, Halmashauri,mbrella ,leseni ya biashara na kibali cha kusafirishana .Kote huko unazungushwa unatumia mda na pesa wameshindwa kuweka window moja ya kulipia na kupunguza matozo matokeo yake kila taasisi inakomoa mfanyabiashara.

Huo ni mfano mmja tuu,nchi ya Tzn ina taasisi za udhibiti nyingi kuliko facilitors,na matokeo yake ukijifanya unafuata sheria hutoboi kwa hiyo lazima tukwepe kodi na tumalizane na maafisa Ili ku survive .

Kwenye miundombinu sasa Nako hawajengi miundombinu yenye tija kwa watu,nakupa mfano mdogo toka wameanza kujenga mastendi makuubwa yameleta tija gani? Jibu ni hakuna.

Kwa wale mnaofahamu mkoa wa Rukwa ccm walijenga barabara inatoka mjini kwenda port ya Kasanga hiyo road si tuu haina traffic bali hakuna inachozalisha,wakaacha barabarani inayotumiwa na watu wengi blonde la Rukwa na kuna uzalishaji.Miradi ya kipuuzi Kam hiyo iko mingi Sana nchi hii,Sasa serikali za watu dizaini hii si ni za wajinga tuu.

Wewe jombi unaanza vizuri then unaboronga katkat
 
Back
Top Bottom