Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku zote ni rahisi kuona makosa ukiwa nje ya uwanja,
same happened to Nigeria, hawana Hamu na Buhari .
Ndio maana mimi siamini kwenye vyama vya siasa, waafrica ni walewale wawe upinzani au Chama tawala, better kuamini kwenye uwezo binafsi wa kiongozi.
Huko kwa Buhari ni mbali,hao Wazambia ni kawaida yao kubadili uongozi lakini hakuna tija wamewahi kuipata,huyo HH ni mfanayabiashara kama wengine kwa hiyo hakuna jipya atafanya,nchi yenyewe ile ilizoea maisha ya subsidies wakalemaa sasa wanalazimisha raha wakati nchi wameuzia China.Mwaka jana uchumi umeingia kwenye recession sasa hiyo nayo ni nchi?

Ni furaha ya kubadili watawala lakini on ground hakuna kitu kitabdilika
 
Wale jombi wanauza dhahabu na kokoa sio mchezo mzee Ghana wapo vizuri ondoa wivu anglia kwa jicho la uhalisia
Ninao marafiki wawili waghana hapa dar mmoja kaoa mwanamke wa kihaya wao wenyewe wanasema hivyo baada ya kufika huku africa mashariki , ndiyo maana kuna watz wanasemaga kama unaidharau tz basi tembelea nchi nyingine za africa ndiyo utajua kuwa tz ni kutamu
 
IMG_0291.jpg
 
Nachukia sana nikiona akili mafi kahii nayo ni ya Tz...ivi ww ulitaka mradi kama wa bwawa la Nyerere uishe ndani ya mwaka moja?au ujenzi wa rail ?Au usambazaji wa umeme au ujenzi wa vituo vya huduma ya afya?...ww wala huna chuki ila ni ujinga umejaa kwa ilo skull lako....wenye chuki wana argue kwa fact sio kubwabwaja kama mpuzi
Hiyo mutu ni maf iii ya bata kabisa ajui hakuna mradi wa magufuli ulio kwama wakati wowote toka kaingia madarakani
 
Ccm ilifia mikononi mwa mkwere, unfortunately this time around hatuna Mbagala wa watu kama kina Dr. Slaa.
Ni kweli hatuna mbadala ila tunajua watu wa namna gani tunawataka hicho ndiyo cha muhimu ,kinacho takiwa kwetu ni kuchagua watu siyo vyama
Tuachane na kuchagua wasaka Tonge waliopo ccm hata upinzani maana Kote kuna wasakatonge wengi
 
Ninao marafiki wawili waghana hapa dar mmoja kaoa mwanamke wa kihaya wao wenyewe wanasema hivyo baada ya kufika huku africa mashariki , ndiyo maana kuna watz wanasemaga kama unaidharau tz basi tembelea nchi nyingine za africa ndiyo utajua kuwa tz ni kutamu

Mm siidharua tz hata kidogo mzee nilichokuwa nataka kuumanisha ni kwamba Ghana wanamauzo mazuri ya dhahabu na kokoa na ndiyo their main source of government revenue kwaiyo huwezi kuibeza kiivyo we just imagine sisi tz revenue ya dhahabu imefika 3.3 b na sisi ni wanne Africa what about Ghana ambayo ndiyo ya Kwanzaa
 
Lakini usisahau tanzania haitegemei kitu kimoja kama source of income kuna mazao mengi sana ambazo zinaingiza pesa nyingi kwa serekali na pia kuna utalii na bandari etc
 
Technically silaumu miradi ila nalaumu njia zilizotumika kupata pesa za kutekeleza miradi kwa kuua uchumi,pili kuna baadhi ya miradi ilifanywa kwa sababu za kisiasa kwa vile natoka nyumbani haitakuwa na tija kamwe na wewe unajua.
Kwahiyo wewe mpumbavuu ulitaka mradi kama wa sgr wa kenya kwa bei kubwa kisha unakuwa mali ya mchina kama alivyo taka kikwete pumbafuu kabisa ,mfumo wa miradi ya magufuli ilikuwa sahihi kabisa
 
Ninao marafiki wawili waghana hapa dar mmoja kaoa mwanamke wa kihaya wao wenyewe wanasema hivyo baada ya kufika huku africa mashariki , ndiyo maana kuna watz wanasemaga kama unaidharau tz basi tembelea nchi nyingine za africa ndiyo utajua kuwa tz ni kutamu

Hao jamaa wanarevenue ya almost 6.5 na zaidi kama sijakosea dhahabu tuu
 
Kwahiyo wewe mpumbavuu ulitaka mradi kama wa sgr wa kenya kwa bei kubwa kisha unakuwa mali ya mchina kama alivyo taka kikwete pumbafuu kabisa ,mfumo wa miradi ya magufuli ilikuwa sahihi kabisa
We kenge joke usinilishe maneno yako pumbavu.stick kwenye hoja
 
Back
Top Bottom