Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JPM nakupenda sana baba kila siku naangalia clips zako naumia napogundua kwamba haupo nasi, popote ulipo najua unajua fika kwamba nakupenda sana baba, umetuachia mzigo mzito mno baba, kwanini ulifanya hivi baba?
Tunaumia wengi hii ndiyo sababu moyo wangu ulikuwa hautaki kuingia JF kipindi kile maana nilihisi kuna kitu kibaya kitatokea tz kila nikitaka kuingia nafsi inasita nikapoteza mudi ya dar vs nairobi ,
 
Wakuu samahani sana ila napenda kusema neno moja HAKUNA RAIS MULE NI MTALII kama alivyosema NairobiWalker good night.
Huyo mwaka ujao hakijichanganya tu kwisha habari yake ,kidogo miradi ya magufuli itambeba ila lazima hatakwama maana hana Akili nani mvivu wa kutupwa toka ujanani mwake alikuwa ni mvivu nadhani mnajua wazenji walivyo wavivu ila huyo ni top kati ya wavivu wa zenji mimi namjua
 
Acha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.

Tzn hapa kuna propaganda nyingi Sana wakati uhalisia ni zero,yaani miaka 5 serikali inajenga km 2500 za lami ndio uwekezaji mkubwa? Hadi sasa hivi mikoa kibao ina mavumbi bado afu mtu anasema mambo makubwa ,yapi hayo?

Matilioni ya air Tzn yamezalisha nini zaidi ya hasara?
Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tu
 
Tatizo hata tukipiga chini ccm tunamuweka Nani pale? Hawa mafala kina lisu?
Big big problem .....tutakacho fanya ni kuwapa ubunge team jpm tunao waamini siyo wasaliti na wa kikwete + ssh tunawapiga chini kwa kuchagua upinzani ,mfano watu kama January makamba na ridhiwani wakigombea ubunge tunatakiwa kuwapa upinzani dawa sisi tusipigie kura vyama tupugie kura watu
 
kuhusu majeshi kumchukia mama n uongo! katoa promotion kwe majeshi yote 'niishie tu hapa!! ila assumption sio sawa
Subiri hiyo promo wametoa ili kuzima moto wa kifo cha magufuli maana siyo cha kawaida ila ukweli upo asilimia 90% mama hakubaliki jeshini ila yamewekwa moyoni wakijaribu kuvuta subira labda mama ataendesha nchi vizuri ,ila kwa jinsi anavyo boronga sijui
 
Big big problem .....tutakacho fanya ni kuwapa ubunge team jpm tunao waamini siyo wasaliti na wasaliti wa kikwete + ssh tunawapiga chini kwa kuchagua upinzani ,mfano watu kama January makamba na ridhiwani wakigombea ubunge tunatakiwa kuwapa upinzani dawa sisi tusipigie kura vyama tupugie kura watu

Hilo kundi la msoga ndio lilifanya watanzania waichukie sana ccm 2015, hata Upinzani wakajipatia umaarufu na kufanya Yale mafuriko wakati Wa campaigns za uchaguzi mkuu 2015, wabunge wengi Wa ccm wakapoteza majimbo..
Jemedari JPM kwa utendaji wake uliotukuka akarejesha heshima ya chama na watu wakaoma upinzani ni mafala tu kwenye uchaguzi Wa mwaka jana,
Yule mwendawazimu lisu hakuwa na agenda zaidi ya kuomba huruma ya wananchi.
Sasa naona tunarudi hatua 100 nyuma na Chama cha kijani kinaanza kuchukiwa kwa kasi kupitia utendaji mbovu na incompetency ya hali ya juu ya mama na watendaji wake kina mwigulu sijui nani
Natamani tungekuwa na mpinzani anaejielewa kama Bobi Wine tumpigie kampaign achukue nchi.
 
kuhusu majeshi kumchukia mama n uongo! katoa promotion kwe majeshi yote 'niishie tu hapa!! ila assumption sio sawa
Kuna tofauti baina ya promotion na maendeleo ya nchi wanajeshi siyo watoto wadogo ,watz wote kwa ujumla tunataka maendeleo ya nchi promosheni ni kwa watoto ni kama peremende "pipi" kwa watoto
 
Hilo kundi la msoga ndio lilifanya watanzania waichukie sana ccm 2015, hata Upinzani wakajipatia umaarufu na kufanya Yale mafuriko wakati Wa campaigns za uchaguzi mkuu 2015, wabunge wengi Wa ccm wakapoteza majimbo..
Jemedari JPM kwa utendaji wake uliotukuka akarejesha heshima ya chama na watu wakaoma upinzani ni mafala tu kwenye uchaguzi Wa mwaka jana,
Yule mwendawazimu lisu hakuwa na agenda zaidi ya kuomba huruma ya wananchi.
Sasa naona tunarudi hatua 100 nyuma na Chama cha kijani kinaanza kuchukiwa kwa kasi kupitia utendaji mbovu na incompetency ya hali ya juu ya mama na watendaji wake kina mwigulu sijui nani
Natamani tungekuwa na mpinzani anaejielewa kama Bobi Wine tumpigie kampaign achukue nchi.
True na ukumbuke ccm bila ya magufuli ni sawasawa na mafiiii ya kuku
 
Subiri hiyo promo wametoa ili kuzima moto wa kifo cha magufuli maana siyo cha kawaida ila ukweli upo asilimia 90% mama hakubaliki jeshini ila yamewekwa moyoni wakijaribu kuvuta subira labda mama ataendesha nchi vizuri ,ila kwa jinsi anavyo boronga sijui
dua la kuku! hakuna kitukamaicho
 
Nani kakudanganya mm nimeongea na mfanyakazi wa hapa Airport ni rafiki yangu kaniambia wanapata hasara kwa kubadili ratiba ya abiria kwa kuwakodia hotel au kuwakodia ndege binafsi
Wakati kuna ndege zime-park!
 
Kuna tofauti baina ya promotion na maendeleo ya nchi wanajeshi siyo watoto wadogo ,watz wote kwa ujumla tunataka maendeleo ya nchi promosheni ni kwa watoto ni kama peremende "pipi" kwa watoto
maendeleo gani yaliosimama kufanyika?
 
Ghana ni kama uganda tu anglia video za miji yao mikuu utacheka hakuna uchumi wa kweli ni makaratasi tu
Mimi nazungumzia investment ya barabara zao sasa matokeo ya investment hiyo kwenye maisha ya watu ni ishu tofauti maana itategemea na sekta zingine pia.

Pili sijawahi isikia Ghana kwenye nchi zenye umaskini sasa sijui mnataka tuwe tunaongea from which perspective ikiwa metrics zinazotumika ku gauge uchumi nyie mataga hamzitaki.
 
Ameuaje uchumi? Una takwimu?
Ndio kutoka growth ya 7% (2015) hadi 4(2019). The same to FDI kutoka @$1b (2016) hadi below hiyo mark kwa miaka yote 5 ni juzi tuu alivyoingia Samia ndani ya miezi 4 FDI zimefika hiyo mark na humu JF taarifa zipo usijifanye hamnazo.

Miradi ya Magu hakuna uliokamilika ukaanza kuleta tija so far,alichocheza vizuri ilikuwa sekta ya Madini ya gold tuu.
 
Imagine watu milioni mbili wana akili kama hizi wanaenda kupiga kura.
Sijawahi pigia kura maccm never maana huko naamini hakuna watu wenye akili walioshika maamuzi,hata ukipigia upinzani ni wastage ya mda nchi iliyo miongoni mwa top 5 zenye idadi kubwa ya watu maskini Africa na wajinga haiwezi kuelewa demokrasia and so na deal maisha yangu full stop.

Nachotaka tuu maccm yasilete sera za ujamaa kama awamu iliyopita.
 
We unaakili?
 
ingependeza zaidi unapoponda kidogo uwe unatoa na pendekezo/ushauri wa kipi kifanyike
Mapendekezo yametolewa Sana ila maccm huwa yanafanya mambo ambayo itawaletea sifa na kura kwa wajinga hata kama haiwasaidii.

Tumependekeza Sana lakini ccm haielewi kwa mfano washushe VAT hadi 12% kutoka 18% Ili tutumie zile mashine zao kwenye biashara.

Tumesema ccm ipunguze mlokongo wa mataasisi ya udhibiti imagine ukitaka kufanya biashara Halali ya let say timber supplier haitakaa upate kitu ,hapo fire,tfs,TRA,wakala wa vipimo, Halmashauri,mbrella ,leseni ya biashara na kibali cha kusafirishana .Kote huko unazungushwa unatumia mda na pesa wameshindwa kuweka window moja ya kulipia na kupunguza matozo matokeo yake kila taasisi inakomoa mfanyabiashara.

Huo ni mfano mmja tuu,nchi ya Tzn ina taasisi za udhibiti nyingi kuliko facilitors,na matokeo yake ukijifanya unafuata sheria hutoboi kwa hiyo lazima tukwepe kodi na tumalizane na maafisa Ili ku survive .

Kwenye miundombinu sasa Nako hawajengi miundombinu yenye tija kwa watu,nakupa mfano mdogo toka wameanza kujenga mastendi makuubwa yameleta tija gani? Jibu ni hakuna.

Kwa wale mnaofahamu mkoa wa Rukwa ccm walijenga barabara inatoka mjini kwenda port ya Kasanga hiyo road si tuu haina traffic bali hakuna inachozalisha,wakaacha barabarani inayotumiwa na watu wengi blonde la Rukwa na kuna uzalishaji.Miradi ya kipuuzi Kam hiyo iko mingi Sana nchi hii,Sasa serikali za watu dizaini hii si ni za wajinga tuu.
 
Back
Top Bottom