Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa SGR ya Tanga Musoma ingecost zaidi...we can actually kill 3 birds with one stone

GOT should make Tabora be the junction...

kama tutajenga Makutupora to Isaka via Tabora..which is one of most important phases...

Then Tabora to Kigoma ..for DRC and passengers
Tabora to Mpanda ...zote hizo zinaweza acess DRC itategemea sasa Goverment itaamua kupita wapi...

Isaka itadeal na Isaka Kigali na Isaka to Musogati via Keza ....

Isaka to Mwanza ita deal na Uganda ..via L.victoria...Uganda wakionesha nia zaidi itajengwa kupitia kagera miaka ijayo
Hili ndio tatizo la kufanya kitu kisa mwenzako anafanya, mwanza sgr inapita ikifanya nini..
Kuna mizigo gani kule baada ya uzinduzi wa phase1
 
Somo limekuingia hilo, usijali next time wala hutokurupuka tena manake haswa ulijitia mjanja kukwepa nilichomaanisha lkn sasa naona zimekukaa sawa
Ninapokuwa siweki emoji kwenye post zng uwe unatambua nipo serious kiasi gani.
 
Ghana ametuacha 8 bill, Angola anakuja kwa kasi tunayo kazi ya kufanya pia naona Ethiopia hataki mchezo anamtafut morroco
Niliskia majirani wakijinadi wako above 100b
Hamna kitu apo mkuu, wenzetu namba zinaongezeka sisi daily tumekwama hapo hapo kwenye 64 na wkt mwingine inakuwa 67 at the same time nchi miradi kila kona tena mikubwa mikubwa na hali ya commercial nchini iko vzr.
 
Saivi kwakua mama anaendana nao ngojea utaona next time ....sababu km ni miradi ya kimkakati ya kustimulate uchumi tumefany lkn wameamua kuziba maskio
Watasema hatuja rebase uchumi na propaganda kibao za kipuuzi ilihali nchi iko vzr tu.
 
Back
Top Bottom