Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena na mbali sana. Tangu aingie urais ametembea nchi nyingi kuliko Uhuru alivyotembea. In fact since Samia aingie Urais Uhuru ametembelea UK pekee. Samia naye ametembea Ug, Kenya, Rwanda, Burundi sasa ako Malawi.

Naona mnatuchora tuu ila safari ya Kenya kidogo impact yake imeonekana ukiachilia safari yake ile ya ug ilikua ya lazima kutia saini mkataba wa bomba
 
Wapi ulipo cross ,miaka 5 iliyopita ilikuwa wastage hakuna kitu mwendazake alifanya zaidi ya kuua uchumi.

Miradi tembo mweupe yote aliyoanzisha hakuna hata mmja uliokamilika

Taja mradi hata mmoja ambao hauna manufaa mzee Acha kutuimbia singeli hapa
 
Kikwete kachanja wacha kumzushia! Wewe, Marehemu JPM na familia yako ndo hamjachanja!
Wacha maneno mbofu mbofu Geza, je wewe umechanja? Niache nilale sitaki matatizo na wanadamu mimi, hako kaugonjwa unakoka hype sisi tumeumwa na ndiyo tunakwambia hamna kitu pale zaidi ya siasa, je wewe umeumwa hako kaugonjwa, wacha nilale sitaki ugomvi na mtu leo usiku mwema.
 
Na hata zikifanana na msikiti au kanisa shida iko wapi? Nchi yetu ina dini kubwa mbili, hapa tukitumia structure ya kiislam pale tunatumia structure ya Kicristo.
Mfano bendera ya taifa kuna kijani na njano ilhali wimbo wa taifa ni kwaya
Blablabla hizo zote na bado haifichi Msikiti,mmejenga Msikiti!!!!!🙈
 
Back
Top Bottom