Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
ingependeza zaidi unapoponda kidogo uwe unatoa na pendekezo/ushauri wa kipi kifanyikeNiko negative au na crash sera mbovu za Uchumi za Mwendazake? Nasema hivi 5 years ago it was a wastage , uchumi ulianguka serikali ilitegemea mikopo na kupora pesa za watu huku ikilisha wajinga waliojazana nchi hii propaganda.
Uchumi ndio sasa unaanza ku rebound sasa na hakuna mtu anaporwa pesa na imani ya business community imerudi sasa wait utaona maisha yanaenda bila kukunja ndita na kufokeana.

