Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio kutoka growth ya 7% (2015) hadi 4(2019). The same to FDI kutoka @$1b (2016) hadi below hiyo mark kwa miaka yote 5 ni juzi tuu alivyoingia Samia ndani ya miezi 4 FDI zimefika hiyo mark na humu JF taarifa zipo usijifanye hamnazo.

Miradi ya Magu hakuna uliokamilika ukaanza kuleta tija so far,alichocheza vizuri ilikuwa sekta ya Madini ya gold tuu.
Nachukia sana nikiona akili mafi kahii nayo ni ya Tz...ivi ww ulitaka mradi kama wa bwawa la Nyerere uishe ndani ya mwaka moja?au ujenzi wa rail ?Au usambazaji wa umeme au ujenzi wa vituo vya huduma ya afya?...ww wala huna chuki ila ni ujinga umejaa kwa ilo skull lako....wenye chuki wana argue kwa fact sio kubwabwaja kama mpuzi
 
We mgao wa umeme bongo unajifanya umesahau eeh labda kama hukai bongo mzee
Mgao wa umeme kipindi kile usingeeupika kwa sababu uchumi ulikuwa kwa haraka na hakuna investment yoyote ilifanyika kwenye nishati kipindi chote cha mkapa na kipindi cha awamu ya kwanza ya msoga.Awamu ya pili ndio JK alianza kuwekeza kwenye gas na mitambo ya dharura kupunguza upungufu wa umeme wakati pia njia za usafirishaji zilikuwa zimechoka kwa hiyo mgao lazima .

Alivyoingia Magu alikuta kuna kukatika katika bado lakini kinyerezi 1 ilikuwa tayari na kinyerezi 2 ilikuwa mwishoni ,alivyomaliza hiyo mitambo 2 upungufu wa umeme ukaisha wakazima mitambo ya mafuta na Tanesco wakapata ahueni ya kurekebisha njia za usambazaji.Lakini ili mamabo hayo yasijirudie huko baadae ndio mwendazake akaona awekeze kwenye stiglaz na kinyerezi 3 ambapo hadi anaondoka hakuana umeme mpya umeingia kwenye grid zaidi ya gas hadi dakika hii.
 
Nachukia sana nikiona akili mafi kahii nayo ni ya Tz...ivi ww ulitaka mradi kama wa bwawa la Nyerere uishe ndani ya mwaka moja?au ujenzi wa rail ?Au usambazaji wa umeme au ujenzi wa vituo vya huduma ya afya?...ww wala huna chuki ila ni ujinga umejaa kwa ilo skull lako....wenye chuki wana argue kwa fact sio kubwabwaja kama mpuzi
Acha kuruka ruka wewe pimbi utakufa kwa pressure,jibu hoja hapo juu ya Mumeo mwendazake kushusha uchumi sio kukimbilia kwenye bwawa.Mbona SSH kaingia uchumi umeanza kukua licha ya kurithi hayo mamiradi ya mwendazake? Bwana wenu alifeli sana kwenye sera za uchumi 😀 😀 😀 😀
 
Mapendekezo yametolewa Sana ila maccm huwa yanafanya mambo ambayo itawaletea sifa na kura kwa wajinga hata kama haiwasaidii.

Tumependekeza Sana lakini ccm haielewi kwa mfano washushe VAT hadi 12% kutoka 18% Ili tutumie zile mashine zao kwenye biashara.

Tumesema ccm ipunguze mlokongo wa mataasisi ya udhibiti imagine ukitaka kufanya biashara Halali ya let say timber supplier haitakaa upate kitu ,hapo fire,tfs,TRA,wakala wa vipimo, Halmashauri,mbrella ,leseni ya biashara na kibali cha kusafirishana .Kote huko unazungushwa unatumia mda na pesa wameshindwa kuweka window moja ya kulipia na kupunguza matozo matokeo yake kila taasisi inakomoa mfanyabiashara.

Huo ni mfano mmja tuu,nchi ya Tzn ina taasisi za udhibiti nyingi kuliko facilitors,na matokeo yake ukijifanya unafuata sheria hutoboi kwa hiyo lazima tukwepe kodi na tumalizane na maafisa Ili ku survive .

Kwenye miundombinu sasa Nako hawajengi miundombinu yenye tija kwa watu,nakupa mfano mdogo toka wameanza kujenga mastendi makuubwa yameleta tija gani? Jibu ni hakuna.

Kwa wale mnaofahamu mkoa wa Rukwa ccm walijenga barabara inatoka mjini kwenda port ya Kasanga hiyo road si tuu haina traffic bali hakuna inachozalisha,wakaacha barabarani inayotumiwa na watu wengi blonde la Rukwa na kuna uzalishaji.Miradi ya kipuuzi Kam hiyo iko mingi Sana nchi hii,Sasa serikali za watu dizaini hii si ni za wajinga tuu.
Kitendo cha kusema kujenga stendi hakujaleta tija umendelea kunionyea ww ni hamnazo kabisa
FAIDA ZA KUJENGA STENDI
1.Imesaidia kupanua miji
2.kuongeza sehem za serikalinkupama mapato pia mtu moja moja kujipatia kipato
3.kuongeza thaman ya ardhi
...kwa ufupi alafu ww jinga unaona hakuna faida aiseeee
Ndio mana mpka leo Mbow
ni mwenye kiti lakin JPM ndio anaoneka dictatormafii
 
Mgao wa umeme kipindi kile usingeeupika kwa sababu uchumi ulikuwa kwa haraka na hakuna investment yoyote ilifanyika kwenye nishati kipindi chote cha mkapa na kipindi cha awamu ya kwanza ya msoga.Awamu ya pili ndio JK alianza kuwekeza kwenye gas na mitambo ya dharura kupunguza upungufu wa umeme wakati pia njia za usafirishaji zilikuwa zimechoka kwa hiyo mgao lazima .

Alivyoingia Magu alikuta kuna kukatika katika bado lakini kinyerezi 1 ilikuwa tayari na kinyerezi 2 ilikuwa mwishoni ,alivyomaliza hiyo mitambo 2 upungufu wa umeme ukaisha wakazima mitambo ya mafuta na Tanesco wakapata ahueni ya kurekebisha njia za usambazaji.Lakini ili mamabo hayo yasijirudie huko baadae ndio mwendazake akaona awekeze kwenye stiglaz na kinyerezi 3 ambapo hadi anaondoka hakuana umeme mpya umeingia kwenye grid zaidi ya gas hadi dakika hii.

Ushasema ijakamilika sasa ngoja ikamilike ndio uje ukosoe

Eeh na zile foleni foleni pale ubungo na tazara na kingine upanuzi wa bandari bado hujaona manufaa yoyote twende taratibu
 
Hamna nchi ina mfumo mbovu wa Uchumi kama Ghana umesahau wanazalisha mafuta pia ila wana debt to GDP ratio ya around 75% yaani wanashindana na Kunyaland! Pitia sources uone!

Ila wale wanaangalau mzee huwezi kufananisha na wazee wa kaskazini ambao wanaletewa mpaka misaada ya chakula
 
Acha kuruka ruka wewe pimbi utakufa kwa pressure,jibu hoja hapo juu ya Mumeo mwendazake kushusha uchumi sio kukimbilia kwenye bwawa.Mbona SSH kaingia uchumi umeanza kukua licha ya kurithi hayo mamiradi ya mwendazake? Bwana wenu alifeli sana kwenye sera za uchumi 😀 😀 😀 😀
Kweli kwa akili yako urojo unazungumzia uchumi kukua ndani ya siku mia? Chochote utakacho sema kinacho husu uchumu jua tu ni JPM impact....sema kwaiyo akili mafi huwezi elewa
Akuna uchumi ulio anguka kizuu ila ni maslai ya mabeberu yameingiliwa sasa wana retaliate
 
Mgao wa umeme kipindi kile usingeeupika kwa sababu uchumi ulikuwa kwa haraka na hakuna investment yoyote ilifanyika kwenye nishati kipindi chote cha mkapa na kipindi cha awamu ya kwanza ya msoga.Awamu ya pili ndio JK alianza kuwekeza kwenye gas na mitambo ya dharura kupunguza upungufu wa umeme wakati pia njia za usafirishaji zilikuwa zimechoka kwa hiyo mgao lazima .

Alivyoingia Magu alikuta kuna kukatika katika bado lakini kinyerezi 1 ilikuwa tayari na kinyerezi 2 ilikuwa mwishoni ,alivyomaliza hiyo mitambo 2 upungufu wa umeme ukaisha wakazima mitambo ya mafuta na Tanesco wakapata ahueni ya kurekebisha njia za usambazaji.Lakini ili mamabo hayo yasijirudie huko baadae ndio mwendazake akaona awekeze kwenye stiglaz na kinyerezi 3 ambapo hadi anaondoka hakuana umeme mpya umeingia kwenye grid zaidi ya gas hadi dakika hii.

Impact utaiona tuu mzee we ngojea miradi miwili tuu mikubwa ikamilike ambao ni sgr kipande cha Dar makutopora na rufiji hydro , waganda na Rwanda wenyewe washaanza kujipendekeza kwetu ilhali miradi bado ijakamilika
 
Hamna nchi ina mfumo mbovu wa Uchumi kama Ghana umesahau wanazalisha mafuta pia ila wana debt to GDP ratio ya around 75% yaani wanashindana na Kunyaland! Pitia sources uone!

Ukisoma hayo maelezo ya IMF ni porojo tuu lakini hakuna risk yoyote kubwa kwenye uchumi.Kukopa hakujawahi kuwa tatizo ikiwa tuu hukopi kwa ajili ya recurent expenditure.Pili kama nchi inauwezo wa ku service debt pia sio shida.

Nyie wenzetu mlisoma political economy ndio maana mnahangaika sana mkiona debt to gdb ratio ni kubwa,sasa kwa taarifa yenu dept sio shida kwa nchi na nchi i aweza kuwa na madeni zaidi ya gdp yake.Kwenye uchumi Dept inaweza kuwa shida kwenye nchi ambazo ziko assumed kwamba their resources are fully employed au zile ambazo zinztegemea sekta moja au mbili tuu kwenye uchumi lakini sio kwenye developing Nations kama zetu ambako tuna resources nyingi za kukabiliana na madeni,fursa ya kukuza uchumi ni kubwa zaidi across sectors.

Natoa wito kwa serikali ya SSH ikope pesa za kuzidi ili tugharamie miundombinu nk afu washushe kodi na pesa zimwagike mtaani tukuze purchasing power ya watu na mwisho wa siku tu drive production,kiufupi serikali itengeneze demand ili demand ichochee production.
 
Acha chuki zisizo na msingi, walioanzisha ujenzi wa aina hiyo ni wajerumani, walifanya hivyo kutokana na mazingira ya joto maeneo ya pwani. Waliendeleza ujenzi huo nchi nzima, hadi ndani ndani huko kwenye maboma yao.

Siyo "religious monument", huu usanifu wajerumani waliupenda sana kwasababu unafanya jengo kuwa na kaubaridi ndani.

Hicho kibaraza kinachozunguka nje kinatengeneza barrier ya ubaridi kati ya ukuta wa nje na jumba lenyewe ( kama double glazing inavyofanya kazi).

Angalia hapo chini jengo la Dar city council na station ya Kigoma utaona kuna kile kibaraza kinachozunguka jengo, yote yalijengwa na wajerumani zaidi ya mika 100 iliyopita.

View attachment 1894862

View attachment 1894863
Makumbosho ya wajerumani Arusha zaidi ya miaka 100

images (15).jpeg
images (16).jpeg
images (17).jpeg
images (18).jpeg
 
Acha kuruka ruka wewe pimbi utakufa kwa pressure,jibu hoja hapo juu ya Mumeo mwendazake kushusha uchumi sio kukimbilia kwenye bwawa.Mbona SSH kaingia uchumi umeanza kukua licha ya kurithi hayo mamiradi ya mwendazake? Bwana wenu alifeli sana kwenye sera za uchumi 😀 😀 😀 😀

Uchumi unaanza ku recover kwasababu nchi zinaanza kufunguka baaada ya corona we jaama vipi, sekta ya utalii bongo ilishuka from almost 2.8 billion mpaka dola 700 we unataka Uchumi ubaki sawa tuu
 
Kweli kwa akili yako urojo unazungumzia uchumi kukua ndani ya siku mia? Chochote utakacho sema kinacho husu uchumu jua tu ni JPM impact....sema kwaiyo akili mafi huwezi elewa
Akuna uchumi ulio anguka kizuu ila ni maslai ya mabeberu yameingiliwa sasa wana retaliate
JPM impacts 😀 😀 😀 😀 Hata Hujui kwamba siku 100 zinamaanisha robo na assessment za Uchumi zinafanyika kwa qourterly.Mtu wenu alifeli sana kwenye uchumi.

Si uliona hapa wewe kwamba ndani ya siku Tzn ilipata urari chanya kwenye mauzo ya nje against Kenya,ikateka soko la Uganda,tuka expotrs nafaka mara 6 zaidi,migogoro ya kijinga na Kenya na Rwanda ikaisha nk nk sasa sijui unaongea nini.

Nilikuwaga namzarau sana yule mtu wenu kutoka kijijini huko yaani akigombana na wenzie kwa vitu vidogo basi anavyovimba ndita na kujitutumua wajinga wanashangilia biashara na uchumi vinaanguka,utasikia vita ya kiuchumi 😀😀😀
 
Ndio kutoka growth ya 7% (2015) hadi 4(2019). The same to FDI kutoka @$1b (2016) hadi below hiyo mark kwa miaka yote 5 ni juzi tuu alivyoingia Samia ndani ya miezi 4 FDI zimefika hiyo mark na humu JF taarifa zipo usijifanye hamnazo.

Miradi ya Magu hakuna uliokamilika ukaanza kuleta tija so far,alichocheza vizuri ilikuwa sekta ya Madini ya gold tuu.

Sielewi unalaumu nini juu ya hiyo miradi mikubwa iliyoanzishwa na Jembe JPM, ulitaka miradi kama JNHPP na SGR ikamilike ndani ya siku 30?
 
DED wa hiyo Manispaa kabla ya kutimuliwa alikuwa mteule wa Mwendazake hakuna aliyemhusa Mwakibibi akiwemo PM mwenyewe alikuwa ananywea kwa hiyo na Kakoko .

Awamu iliyopita kulikuwa na majizi,maporaji ,majambazi nk kwa mgongo wa uzalendo,saizi yanaumbiana huku Sabaya huku Pm,Mwakabibi ,kule Gwaji boy na Chanjo.
Hapa naku-support kwa kauli ya mwendazake haya ni majipu!
 
Uchumi unaanza ku recover kwasababu nchi zinaanza kufunguka baaada ya corona we jaama vipi, sekta ya utalii bongo ilishuka from almost 2.8 billion mpaka dola 700 we unataka Uchumi ubaki sawa tuu
Corona eeh,mbona hamkuweka lock down how comes uchumi uanguke? si bwana wenu alisema wakijifungia mnaliwa muwauzie sasa ilikuaje hamkuuza?😀😀

Alipokuwa anakataa chanjo nani angewaruhusu kuvuka mpaka? Leo hii wachezaji wanachanjwa,watu wa kawaida wanachajwa,wafanyabiashara nk kwa hiyo kuvuka border ni simple siko kipindi chenu cha nyungu ilikuwa migogoro na jirani kila siku.

Na mimi nitafurahi sana sekta ya utalii ikirudi angalau nusu ya hapo awali ili sasa maza apate mapesa ya kufanya wonders ndani ya miaka hii 4 kuwaziba midomo,dangote analitaka kukimbia saizi anajenga kiwanda cha mbolea mtwara,warundi wanajenga kiwanda cha mborea Dom na migodi 2 mikubwa inaanza uzalishaji mwaka huu.Pesa kede kede tusipotoka saizi kwa SSH akaja mwehu mwingine itakuwa ni majuto.
 
Kwani apo zambia aliye chukua nchi ni mpinzani ? Apo akuna kilicho badilika zaidi ya walio kuwa chama tawala wamerudi madarakani....swali la msingi ni kwanini Zambia chama cha upinzani kimeshindwa kutimiza majukumu? Vyama vya upinzani Tz vina kitu cha kujifunza apo....

Siku zote ni rahisi kuona makosa ukiwa nje ya uwanja,
same happened to Nigeria, hawana Hamu na Buhari .
Ndio maana mimi siamini kwenye vyama vya siasa, waafrica ni walewale wawe upinzani au Chama tawala, better kuamini kwenye uwezo binafsi wa kiongozi.
 
Sielewi unalaumu nini juu ya hiyo miradi mikubwa iliyoanzishwa na Jembe JPM, ulitaka miradi kama JNHPP na SGR ikamilike ndani ya siku 30?
Technically silaumu miradi ila nalaumu njia zilizotumika kupata pesa za kutekeleza miradi kwa kuua uchumi,pili kuna baadhi ya miradi ilifanywa kwa sababu za kisiasa kwa vile natoka nyumbani haitakuwa na tija kamwe na wewe unajua.
 
Back
Top Bottom