Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaota wewe hata historia ya chama hujui,kwa ccm ukishakuwa na vyeo kuanzia pm kwenda juu kamwe hutakaa uingie ikulu,si TU no vyeo bali vinachukuliwa kama ulaji.

Tusubirie 2030 uone kama huyu mtu wako atakuwa Rais.
Kwa hiyo TZ inaongozwa kwa historia ya chama na siyo katiba ya nchi? Acha kukariri maisha dunia inabadilika haraka sana wewe baki na mawazo yako mgando (negativity everywhere). Wapi ndani ya katiba ya ccm imeandikwa kwamba Premier hatawahi kuja kuwa mgombea wa urahisi?
 
Acha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.

Tzn hapa kuna propaganda nyingi Sana wakati uhalisia ni zero,yaani miaka 5 serikali inajenga km 2500 za lami ndio uwekezaji mkubwa? Hadi sasa hivi mikoa kibao ina mavumbi bado afu mtu anasema mambo makubwa ,yapi hayo?

Matilioni ya air Tzn yamezalisha nini zaidi ya hasara?
Hebu taja hio mikoa ambayo ni vumbi ili na sisi tukague maneno yako 😄😄😄
 
Kwa hiyo TZ inaongozwa kwa historia ya chama na siyo katiba ya nchi? Acha kukariri maisha dunia inabadilika haraka sana wewe baki na mawazo yako mgando (negativity everywhere). Wapi ndani ya katiba ya ccm imeandikwa kwamba Premier hatawahi kuja kuwa mgombea wa urahisi?
Hilo sio swali ni jibu ,Huyo mtu wenu anakoma 2025 kuwa pm huo Urais atautoa wapi?
 
Mbona unakua negative kwa kila kitu mkuu?
Niko negative au na crash sera mbovu za Uchumi za Mwendazake? Nasema hivi 5 years ago it was a wastage , uchumi ulianguka serikali ilitegemea mikopo na kupora pesa za watu huku ikilisha wajinga waliojazana nchi hii propaganda.

Uchumi ndio sasa unaanza ku rebound sasa na hakuna mtu anaporwa pesa na imani ya business community imerudi sasa wait utaona maisha yanaenda bila kukunja ndita na kufokeana.
 
Back
Top Bottom