Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

juu umeshaitikia mmejenga "ikulumosque",Sasa twangoja Mletewe Sheria law sndio
Tumejenga ikulu kwa kufuata Swahili culture yetu ambayo ina influence ya arabic na Bantu hatuigi tuu mambo ya western kama nyie pia hata Bunge letu utaona design yake ni ya swahili culture nyumba ya msonge
 
Tony254 pingli-nywee MK254 NairobiWalker njooni tucheke 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

1629181344604.png
 
Mimi nazungumzia investment ya barabara zao sasa matokeo ya investment hiyo kwenye maisha ya watu ni ishu tofauti maana itategemea na sekta zingine pia.

Pili sijawahi isikia Ghana kwenye nchi zenye umaskini sasa sijui mnataka tuwe tunaongea from which perspective ikiwa metrics zinazotumika ku gauge uchumi nyie mataga hamzitaki.
Tumia akili kitabu kina elimu ila hakina akili
Uchumi ni mali uliyo nayo siyo porojo porojo
 
ilimgharimu magu almost miaka3 watu kumuelewa so isije ikafka 2023 ukabadili mawazo
Mimi siyo kipofu,magu alikuwa mchapa kazi toka hajawa raisi pia magu alikuwa anajua kwenda na upepo alikuwa very intelligent kila alipo kosea alijilekebisha mwenyewe tofauti na huyu mama ,kitakacho msaidia mama ni miradi ya magufuli kama bwawa la umeme nk ila huyu mama ni mvivu toka utotoni uvivu wa kizanzibar mimi namjua
 
Hilo kundi la msoga ndio lilifanya watanzania waichukie sana ccm 2015, hata Upinzani wakajipatia umaarufu na kufanya Yale mafuriko wakati Wa campaigns za uchaguzi mkuu 2015, wabunge wengi Wa ccm wakapoteza majimbo..
Jemedari JPM kwa utendaji wake uliotukuka akarejesha heshima ya chama na watu wakaoma upinzani ni mafala tu kwenye uchaguzi Wa mwaka jana,
Yule mwendawazimu lisu hakuwa na agenda zaidi ya kuomba huruma ya wananchi.
Sasa naona tunarudi hatua 100 nyuma na Chama cha kijani kinaanza kuchukiwa kwa kasi kupitia utendaji mbovu na incompetency ya hali ya juu ya mama na watendaji wake kina mwigulu sijui nani
Natamani tungekuwa na mpinzani anaejielewa kama Bobi Wine tumpigie kampaign achukue nchi.
Ama kama Raila Amolo Odinga au vipi?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom