Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilichobaki ni kulazimisha machanjo machanjo machanjo ili kupata pesa za bure pumbavu kabisa, yn tunatoka kwenye misingi matozo kila kukicha, masafari safari yasiyokuwa na mpango wowote na tena unatumia ndege kubwa kabisa yn safari moja tu unajenga road ya changarawe kijijini, tuna katiba mbovu sana.
 
Mwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
DBCFB6C5-9A2E-41C6-BDDA-80CE7AEFAFC2.jpeg
21C3B74B-C0C9-4B45-95BC-E0929E8CBE38.jpeg
6CA0D4B2-9304-47E1-868A-652AAF92A4D1.jpeg
 
Mimi nimeumwa corona wiki mbili zilizopita, hakuna ugonjwa wa kuogopa pale dalili na maumivu yake hayatofautiani na marelia kali, lkn sasa serikali hili bovu lina ajenda yake ya mikopo, mm siwezi kuwa mnafki hata iweje mana naipenda sana hii nchi cz sina nchi nyingine ya ku brag zaidi ya Tz, sasa ninapoona mambo yanaenda ndivyo sivyo nitasema tu
 
Hakuna chama cha siasa kiko serious tanzania ndio maana hata kuipa challenge ccm bado sana
Hili ndilo tatizo lingine, yani hii nchi hakuna chama kiko serious zaidi ya CCM, mm ni mwana CCM wa kuzaliwa lkn nilipenda cku moja hii nchi iwe chini ya chama kipya ila ndio hivyo haiwezekani mana viongozi wote wa upinzani ni malaya.
 
JPM nakupenda sana baba kila siku naangalia clips zako naumia napogundua kwamba haupo nasi, popote ulipo najua unajua fika kwamba nakupenda sana baba, umetuachia mzigo mzito mno baba, kwanini ulifanya hivi baba?
 
Back
Top Bottom