Safi kabisa hzo ndio nchi zenye pesa 🤲🤲![]()
Tanzania Meat Attracts Mideast Buyers
A Saudi Arabian delegation led by the kingdom's Food and Drug Authority inspector, Ahmed Alhajouj, was in Tanzania this past week to inspect abattoirs and hold talks with the Tanzania Bureau of Standards as the kingdom seeks new beef producers.allafrica.com
Wapi ulipo cross ,miaka 5 iliyopita ilikuwa wastage hakuna kitu mwendazake alifanya zaidi ya kuua uchumi.Hiyo $64 bln haibadiliki? Mbona kwa miaka mingi inatajwa hiyohiyo tu? Nadhani tume-cross $70 bln mark!
Wewe ndio hujui kitu. ni replica yenye improvements na haikujengwa na Mjerumani bali Muingereza kima wewe hujui kitu kadandie mitiUsiongee kitu usichojua kwa taarifa yako ikulu ya Dodoma ni replica ya ikulu ya magogoni ambayo ilijengwa na Wajerumani sijui hayo mawazo yako ambayo ni myopic umetoa wapi
na bado taratibu wataelewa tu
Acha utoto wewe,unaweza linganisha investment ya barabara walivyofanya Ghana na Tzn? Chukua value ya sgr hadi sasa kalinganishe na value ya miundombinu waliyofanya afu urudi hapa.Na ukiangalia vitu walivyo fanya Ghana na sisi ....sisi ni zaidi lakin wameamua kutukwamisha kusudi....
Ulitaka asijitambulishe ? Ajifungie Ili avumbue? Yule aliyejifungia yuko wapi saizi?Tena na mbali sana. Tangu aingie urais ametembea nchi nyingi kuliko Uhuru alivyotembea. In fact since Samia aingie Urais Uhuru ametembelea UK pekee. Samia naye ametembea Ug, Kenya, Rwanda, Burundi sasa ako Malawi.
Hadi 2030 kama utakuwa hatujafukia kwa pressure basi itakuwa bahati,SSH 😁😁Serikali gani ya kipuuzi haijawahi kutimiza ahadi iliyosema, yn ni upuuzi kushoto kulia, serikali imejaza wajinga kwenye system, hakuna agizo hata moja lililofanyiwa kazi ni upuuzi tu na kutembelea nyota ya JPM.
Kamsaidie Mbowe kuidai Ukonga na KisutuTuna katiba mbovu na ya kipuuzi kabisa.
duuuhhh!!!!!!!!nani anatamani ama ni mamako. sisi tumeridhika na ikulu yetu sawa na venye waamerika wameridhika na whitehouse. senge hii
Mfumo unakandamiza vyama vya upinzani!Hakuna chama cha siasa kiko serious tanzania ndio maana hata kuipa challenge ccm bado sana
Na akili zake za ukibwetere atakuja kuleta maafa! Inabidi adhibitiwe!Watampoteza huyu wewe subiri uone.
😆😆😆😆JPM nakupenda sana baba kila siku naangalia clips zako naumia napogundua kwamba haupo nasi, popote ulipo najua unajua fika kwamba nakupenda sana baba, umetuachia mzigo mzito mno baba, kwanini ulifanya hivi baba?
i like the fact that hana habari na mambo ya corona, nadhan baada ya mama huyu ndo rais ajaye
Acha chuki zisizo na msingi, walioanzisha ujenzi wa aina hiyo ni wajerumani, walifanya hivyo kutokana na mazingira ya joto maeneo ya pwani. Waliendeleza ujenzi huo nchi nzima, hadi ndani ndani huko kwenye maboma yao.Hakuna wivu hapa nashangaa tu, upuzi gani huu mmefanya nyie vilaza?.., eti ikulu!!! Tanzania ni taifa la dini ya kiislamu?.., sina ubaya na dini, lakini hiyo ndio picha.
Siyo "religious monument", huu usanifu wajerumani waliupenda sana kwasababu unafanya jengo kuwa na kaubaridi ndani.A religious monument.., nothing more 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 dini sio uhuru, ni utumwa pia 😂 😂
View attachment 1894246
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuuhhh!!!!!!!!
we cha pombe sijui umetikea wapi