Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye hizo dreamhouses zenu mtu huanika manguo wapi? Afadhali hao wa Pipeline have a place for that. Je hawa wenu?View attachment 1797571
Munaokota picha zenu wenyewe alaf munasema dar seious bro🤣🤣🤣 nikisema mm munaniona mbaya munanichukua na wengine wananitukana kabisa 🤣👇👇👇

89453B10-9F03-4FA4-B130-0B6C2E8E3E24.jpeg


 
Nikisema mm hua wananichukia bure 🤣🤣🤣👇👇👇 mzungu hawezi kua kichaa hata siku moja aone slum za dunia nzima asione ya dar haitatokea mpaka dunia inasmama👇👇👇👇


View attachment 1797644


Huyo mzungu wako ni mwerevu lakini huyu mwingine ni mjinga sivyo? 😂 😂 Kilaza katikati ubora wake
Screenshot_20210523-235214~2.png
 
Si unaona ulivyo mjinga? Hiyo picha nilileta ni ya barabara? Kwa hiyo picha yote kitu umeona tu ni hao kabarabara barabara pembezoni mwa picha? Mbona hutaki kuzoom hiyo picha yenyewe yenye nimetuma ambayo inaonyesha dreamhouses na sio barabara? Skewed reasoning and mindset!

Barabara hata kibera slum iko nazo and we can zoom them tooView attachment 1797645View attachment 1797646View attachment 1797647
Yani mzungu hawezi kua kichaa mark my words 🤣🤣👇👇👇 same area you posted mm nimefanya kuzoom tu 👇👇🤣🤣🤣
BDABB0A2-7AE0-4E4D-BD25-CF3485305A57.png
7D08186C-524F-4AC2-99B5-6D7596779923.png
 
Huyo mzungu wako ni mwerevu lakini huyu kwingine ni mjinga sivyo? 😂 😂 Kilaza katikati ubora wake
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 narudi tena lazma munichukie tu hakuna namna
26360F82-2B5E-4731-B069-B7C3E1F02098.jpeg


 
Wananichukia bure tu wengine wananitukana kabisa 🤣🤣🤣👇👇

B805D4C3-3013-49C3-9F2F-BF6D552C118A.jpeg





7BF841C6-A019-482F-AD25-FCC7B902DD35.jpeg
7BF841C6-A019-482F-AD25-FCC7B902DD35.jpeg


 
Hahaa!!mjomba mwaka huu kuna mengi tutayaona kutoka kw vilaza waliopitiliza
Eti UN office iko Masaki!!! Wanatamini sana. Hii confusion yote and wishful thinking inaletwa tu eti kwa sababu mtaa wao bora zaidi ni apartments tupu! 😂 😂 Sasa wakaamua kuzipa hizo apartments kazi ndio zisionekane ni za mabwenyenye wao kuishi hadi zingine zinabandikwa as UN offices!
 
Tatizo lenu nyinyi ni washamba sana niliwaambia maisha ya huku hamuyawezi ndio maana huwez pata slum, mzungu mwenyewe kahangaika hakupata hio slum
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 1797586
Bongolala, there are only 4 UN offices in the entire world. Hizo ofisi nne zinapatikana Vienna, New York, The Hague na Nairobi. Usijitwishe mzigo huwezibeba
 
Kwenye swala la residentials huweziniambia chochote. I know the kind if houses ziko Dar coz I can see them on Google Earth. Hizo picha nimekueltea coz I couldn't get aerial views za hizo maeneo I was focusing on. Ukisema hamna inamaanisha nini? Kwani hizi tunapost usiku na mchana hadi mnaishia kukasirika ni picha za Dar? How many times do you say dormitories and estate in a day kwa hasira?
we dar unaijulia wapi ,,,hebu wacha pang'a ng'a za kichokoraa usikariri maisha,,,

dar kuna starehe na sehemu bora za starehe kuliko hako kamji kenu ,,hivyo utulie huwezi kushindana na mji wa kisasa dar ni modern city ,,,
hizo empire posh zenu zinazomilikiwa na wa,ungu hamna kitu apo
 
Kawaida hyo kidada kusanif chupa za waume zake, yani kwanza unaanzaje alafu kutoisanif manake huenda ikawa kigozi chako ni kinuko sasa unahofia chupi waume zako zisiambatane na uchafu wako ndio tusiujue uhalisia wako..

Upo dada!!
ha haaaa ,,,

eti upo dada,,,chokoraa leo umekosea njia
 
hizi Body za maBus zenu zote, Oil tankers, na maTrailer.... zooote ni 'made in kenya!'
ungekuwa karibu ningekumwagia mavi ya kibera kisha ,,tungeanza kuongea...


kuropoka siyo kuzuri,,,

gari zinakuja mpya kutoka bandarini zaidi ya 400,,,,je mnafactory gani yakuzalisha body inayoweza kuzalisha body za magari zaidi ya 400 kwa short time,,,?,,

ongea kwa fact usiropoke, tuletee jina la hiyo factory inayounda body buses zaidi ya 400 kwa short time..
 
Leo nataka nitoe mfano kidogo ila wakenya mnapaswa kujibu msikimbie kimbie,,ni hivi kwa hapa Dar tunatumia aina mbili zote za aina ya ujenzi wa makazi tukijumuisha estate na ujenzi houses moja moja kwa individual,,,

ila hatuna estate nyingi kiivyo ila kwa upande wa individual houses mmoja mmoja ni nyingi sana kuliko estate i hope hata nairobi itakuwa ni hivyo hivyo sema mnachofanya ni kuruka ruka na kukwepa upande wa individual houses ,,,,sababu kiuhalisia hizo estate mnazokazana kupost hapa haziwezi kuhifadhi idadi ya watu wote wanaoishi nairobi,,,,
swali la msingi je individual houses mbali na estate kwa nairobi mbona hamzipost..?,,dayle mnakazana na runda estate n.k,,

hapo chini ni mfano wa baadhi ya estste na nyumba zinazomilikiwa na mtu mmoja mmoja na nyie mtuinyeshe tuoneView attachment 1796263View attachment 1796264View attachment 1796265View attachment 1796266View attachment 1796267View attachment 1796268View attachment 1796269View attachment 1796270View attachment 1796271View attachment 1796272View attachment 1796273View attachment 1796274View attachment 1796276View attachment 1796278
Umeuliza swali nzuri sana na ningependa nikujibu. Mfumo wa nyumba moja moja na 'estates' as you call them (whatever that means) zipo pande zote just like you say. Kitu unafaa kuelewa ni kwamba Nairobi watu wengi huprefer kununua nyumba na pia kuna wengine ambao hujijengea zao. Most of these houses on sale zinapatikana in gated communities and apartments.

Tatizo ni kwamba mnakerwa tukileta picha za gated communities and apartments na sijui ni kwa nini. Kitu msichokijua ni kwamba hizo sehemu kuna watu wsmenunua nyumba zao kule. The moment mmeona tu picha za apartments ama gated communities hivi mnaanza stories za sijui investors, mara estates na mambo mengine mengi. Ama mtu ni lazima tu ajenge nyumba ndio awe homeowner? Yule ambaye amenunua nyumba kwenye gated community ama apartment hamiliki nyumba? Hili ni swali mnafaa kujiuliza na mjijibu.

Kuhusu nyumba moja moja ambazo mnasema hazipo Nairobi, hizi hapa ni baadhi tu ya maeneo ambayo nyumba kama hizo zipo. Sasa sijui hizi pia ni za 'investors' ama pia ni 'estates'!!
Screenshot_20210526-011829~2.png
Screenshot_20210526-012458~2.png
Screenshot_20210526-011932~2.png
Screenshot_20210526-012601~2.png
Screenshot_20210526-012542~2.png
Screenshot_20210526-012601~2.png
Screenshot_20210526-012623~2.png
Screenshot_20210526-012716~2.png
Screenshot_20210526-012740~2.png
Screenshot_20210526-012842~2.png
Screenshot_20210526-012910~2.png
Screenshot_20210526-013137~2.png
Screenshot_20210526-013305~2.png
Screenshot_20210526-012716~2.png


Screenshot_20210526-012941~2.png
 
we dar unaijulia wapi ,,,hebu wacha pang'a ng'a za kichokoraa usikariri maisha,,,

dar kuna starehe na sehemu bora za starehe kuliko hako kamji kenu ,,hivyo utulie huwezi kushindana na mji wa kisasa dar ni modern city ,,,
hizo empire posh zenu zinazomilikiwa na wa,ungu hamna kitu apo
Hii chorus ya wazungu mbona tumeuzoea sasa. It's becoming boring now. Si huwa mnasema hata Nairobi yenyewe imejengwa na mzungu!
 
Hii chorus ya wazungu mbona tumeuzoea sasa. It's becoming boring now. Si huwa mnasema hata Nairobi yenyewe imejengwa na mzungu!
ndiyo mkenya hapo ni omba imba tu,,,,wakenya wengi huishia kwenye uchokoraa
 
Umeuliza swali nzuri sana na ningependa nikujibu. Mfumo wa nyumba moja moja na 'estates' as you call them (whatever that means) zipo pande zote just like you say. Kitu unafaa kuelewa ni kwamba Nairobi watu wengi huprefer kununua nyumba na pia kuna wengine ambao hujijengea zao. Most of these houses on sale zinapatikana in gated communities and apartments.

Tatizo ni kwamba mnakerwa tukileta picha za gated communities and apartments na sijui ni kwa nini. Kitu msichokijua ni kwamba hizo sehemu kuna watu wsmenunua nyumba zao kule. The moment mmeona tu picha za apartments ama gated communities hivi mnaanza stories za sijui investors, mara estates na mambo mengine mengi. Ama mtu ni lazima tu ajenge nyumba ndio awe homeowner? Yule ambaye amenunua nyumba kwenye gated community ama apartment hamiliki nyumba? Hili ni swali mnafaa kujiuliza na mjijibu.

Kuhusu nyumba moja moja ambazo mnasema hazipo Nairobi, hizi hapa ni baadhi tu ya maeneo ambayo nyumba kama hizo zipo. Sasa sijui hizi pia ni za 'investors' ama pia ni 'estates'!!View attachment 1797672View attachment 1797674View attachment 1797675View attachment 1797676View attachment 1797677View attachment 1797678View attachment 1797679View attachment 1797680View attachment 1797681View attachment 1797682View attachment 1797683View attachment 1797684View attachment 1797685View attachment 1797687

View attachment 1797670
ha haa ona sasa mlivyo rush,tukiwaambia kuwa nairobi bado ,inabidi mkazane mjenge ili muifikie dar mnaanza kubwabwaja...

na isitoshe umerudi kule kule kupost baadhi ya vimin estate...

pambaneni hiyo city yenu bado sana
 
Eti UN office iko Masaki!!! Wanatamini sana. Hii confusion yote and wishful thinking inaletwa tu eti kwa sababu mtaa wao bora zaidi ni apartments tupu! Sasa wakaamua kuzipa hizo apartments kazi ndio zisionekane ni za mabwenyenye wao kuishi hadi zingine zinabandikwa as UN offices!
 
Back
Top Bottom