Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,158
- 5,658
Hata kabla ya Afcon hapo sio porini. Hilo ni eneo la mradi wa Safari city wa NHC, nyumba zilishaanza kujengwa hapo.Hapo walipojenga ni sahihi kabisa.
Mji unatanuka, na inapunguza foleni.
Baada ya AFCIN hapo siyo porini tena
Lakini meskia makonda akisema eneo kubwa la karibu na uwanja wameliuza kwa mwekezaji wa nje atakaejenga kamji hapo even before Afcon.