Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kelele peleka Tandale

Ime assemble magari mangapi? Imeuza kwa wangapi na imetengeza faida kiasi gani 🤣🤣

hzi ni failed projects hata ww unajua ila utabisha tu kisa uonekane huna aibu 🤣🤣

hvi serious mkenya na vw ni wapi na wapi hzo probox munamuachia nani??

afadhal hata vw ya rwanda kidogo ni wanunuzi wa vw 🤣🤣🤣
 
Just imagine[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alaf mtu anshangaa kibera kua na watu 2.5m people[emoji116][emoji116] mtu akirent bedsitter nae ni middle class[emoji1][emoji1][emoji1] alaf wako hapa eti wanajifanya wazalendo kuficha chupi zaoView attachment 1797544
Ardhi yote wamechukua politicians, wamewaacha kina Nicxie kujisifu na mashamba ya urithi ushagoo, shamba moja wajukuu 200, inasikitisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unalilia mashamba ya kenya hivi kenya wewe hata nusu hekari unaweza afford ama ni kelele tu[emoji1787][emoji1787]
 
Ardhi yote wamechukua politicians, wamewaacha kina Nicxie kujisifu na mashamba ya urithi ushagoo, shamba moja wajukuu 200, inasikitisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani sio wao tu mpaka familia zao na relatives zao just imagine🤣🤣🤣 na pia kuna wale investors wameingia jv na wakuu wa idara za serekali 🤣🤣🤣
 
Ardhi yote wamechukua politicians, wamewaacha kina Nicxie kujisifu na mashamba ya urithi ushagoo, shamba moja wajukuu 200, inasikitisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafikiria kenya ni tz ndani ya miaka 60 mumezaana km sisimizi[emoji1787][emoji1787]yani kila mwaka watu milioni
 
Tanzania total area is 945,087 km²
Population tanzania is 60m

kenya total area is 580,367 km²
Population kenya is 55m

naomba tutumie hesabu za dukani sio za kiuchumi, naomba tutumie basi mathematics and not pure mathematics 🤣🤣🤣🤣
 
Kwani huoni imeandikwa Dar? Tuambie ni wapi. Mimi siishi uswazini nipajue ni wapi
Kwahiyo hapa napo ni Dar kwasabu mkunya kaandika ni Dar c ndiyo we kima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums896497720.jpg
 
Back
Top Bottom