Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hyo ni Runda mzee, unafikiria kiwanja ni peni mbili na sumni
Hyo hela inajumlisha kila kitu, nyumba kiwanja na vingine vingi tu mpka ukaimiliki
Iyo hela unaweza nunua nyumba Beverly hills California
 
mzee utakufa kwa presha

ndiyo maana huwa hampost sababu mna madudu...

toa uchafu endeleeni kupost estate overView attachment 1796619View attachment 1796620View attachment 1796621View attachment 1796622View attachment 1796623View attachment 1796624
Kwenye swala la residentials huweziniambia chochote. I know the kind if houses ziko Dar coz I can see them on Google Earth. Hizo picha nimekueltea coz I couldn't get aerial views za hizo maeneo I was focusing on. Ukisema hamna inamaanisha nini? Kwani hizi tunapost usiku na mchana hadi mnaishia kukasirika ni picha za Dar? How many times do you say dormitories and estate in a day kwa hasira?
 
Iyo hela unaweza nunua nyumba Beverly hills California
Prices of properties in Nairobi are so high. But somehow people still manage to buy houses. They would not be on sale if there were no buyers
 
Hiyo hapo moja


Mbona umempandia ngazi hivi? Haven't you realized that they don't want anything to do with gated communities? Hujanotice kutoka Jana they refer to such places as estates and 'shouldn't' be considered as places where Kenyans own or rent property? Wanajua hawana such organized neighborhoods so they come up with a lot of theories
 
Alafu mtu akuletee uchafu mwengine hapo hivo akwambie ndio dream house na hii sii dream house juu umenunua. 🤣 🤣 🤣
That's how stupid they reason, especially huyu kilaza ichoboy. Eti 'niletee nyumba ya tajiri hapo Nairobi imejengwa kwa ndoto zake'. How is this measured? How do you know if a house has been built according the owner's taste?

Wao wanafikiri mtu akinunua nyumba hapo hajaacomplish chochote, eti lazima tu mtu ajenge nyumba. And then when you look at the things they've built in their entire city unabaki tu ukicheka
 
Mostly foreigners ndio wanapangisha kwenye izo apartments sio wabongo
Vijisababu hamkosangi. Kwani nairobi ndio hakuna foreigners. The fact remains your most treasured neighborhood ni apartments tupu, jambo huwezipata Karen, Muthaiga ama Runda hapa Nairobi. And the funny part is that the same apartments mnazikejeli and call them names ikija upande wa Nairobi!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 vituko vya karne hvi

dangote kaekeza tanzania over 750m usd na sasa anaenda kuekeza over 500m usd unaongea nn wewe 🤣🤣🤣
chinese richest person, Jack Ma in kenya to establish Alibaba african headquaters in nairobi kenya!. infact it was a mistake for Dangote to go to tz,. kenya is the hotbed of foreign investments and perceived as the best alternative to south africa if you are thinking of tapping into the entire african market
jack ma.jpg
jack ma2.jpg
 
Hii Dar yenu mlianza kuikana mwaka juzi na bado mnaikana hadi wa leo. Hamchoki? Aren't you people proud of the city you live in and your so-called dreamhouses? Uzuri ni kwamba the internet never forgets
View attachment 1795943View attachment 1795944View attachment 1795945View attachment 1795946View attachment 1795947View attachment 1795948View attachment 1795949
Be proud of what you sow
UrbanSlum💉💉💊💊 Na pia usisahau wako pia na Barabara msalaba #ModernCross🔥🔥wachukue pia hio😆
 
Back
Top Bottom