Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa ni wapi jombaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I mara ngapi mmekana picha za Dar? Ama unadhani hatuwajui kwa kukana picha za Dar? Unajifanya hujui unapoishi jombaa
Screenshot_20210523-235214~2.png
 
Kwahiyo twiga cku hz wanahishi ufukweni au sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pori gani hilo au mbuga gani[emoji1787][emoji1787] kabla na baada ya huo mkasa walioita wangapi hapo wakafa tena..tueleze injinia wa tz umeme
 
Hapo ni karibu na mbuga gani mzee, emu tujuze[emoji1787][emoji1787]hatuwezi eka nyaya zetu eti kisa tuna wawaza twiga
Sasa kilichowafanya mkaongeza urefu wa nguzo nikwamba hamkujua hapo ni kwa wanyama? Failed state as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni dar sehemu gani?? Hata slum za india pia wameandika dar au unataka ushahidi [emoji1787][emoji1787]
India hawana nyumba za kiswahili mzee acha kujiabisha hapa[emoji1787][emoji1787]
Dreamhouses zinapatikana only in dar
 
Sasa kilichowafanya mkaongeza urefu wa nguzo nikwamba hamkujua hapo ni kwa wanyama? Failed state as usual [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wapi zikiongezwa, emu tuonyeshe mzee[emoji1787][emoji1787]we unaokoteza vitu na ku paste..
Leta lini zikiongezwe na ni wapi
 
Unafikiria kenya ni tz ndani ya miaka 60 mumezaana km sisimizi[emoji1787][emoji1787]yani kila mwaka watu milioni
Tz ni kubwa mara 3 ya Kenya lkn difference ya watu ni only 5mil people [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tz ni kubwa mara 3 ya Kenya lkn difference ya watu ni only 5mil people [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani tz siku hzi mko 52m people[emoji1787][emoji1787]
Tena hapa tunaongelea hivi inakuaje ndani ya miaka 60 mnatoka malaki mpka milioni 60. Hpo hesabh za hraka haraka we kwenu wakumi[emoji2960]
 
Mwenzako kasema hyo india[emoji1787][emoji1787]
Nyumba za kiswahili kabisa hzo jamaa anasema eti india
It's not their first time wao kukana picha za Dar. Wamekana picha za Dar hapa nyingi sana. Hata hii hapa wangekana tu tatizo ni kwamba BRT inaonekana so hawawezi
images(129).jpg
 
Back
Top Bottom