Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nashangaa sana na wengi wetu hapa watanzania mnataka kuilazimishia kenya umasikini kila saa kibera afrika nzima hakuna nchi utasema inaeza kujisamamia tuna changamoto sisi sote. Watanzania hapa wakiongea utadhani nchi yao ni marekani au ulaya na Kenya ni Burundi. Lakini ukweli wa mambo natumia kila mmoja anajua hali ilivyo katika nchi yake. Kubali hali yako ushughulike kuunda maisha yako sio kupiga kelele hapa ukimdhulumu jirani yako eti masikini ilhali wewe pia hata maisha yako binafsi haina muelekeo.
Sasa kama mnajua Nairobi is full of slums mnabishana vp na Dar? Tafuteni cha kufanya basi! Over 20 largest slums in the World in a city 1/3 the size of Dar is a shame!
 
Wacha nikuelimishe kidogo. In Nairobi, most houses ni apartments. Hakuna mahali utaenda nairobi ukokosa apartments kando na mitaa za kifahari. Hizo apartments unaona kuna zile ambazo zinajengwa kwa minajili ya kuuza na watu hizinunua sana. Ama mtu akinunua nyumba kwenye apartment si homeowner? It happens even in the US.

Secondly, nyumba za chini kama hizo ulizopost pia zimejaa Nairobi. And just like apartments, hizi pia kuna zenye zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi. Kuna pia watu ambao wanajinunulia plot na kujenga wenyewe from scratch. We've given you so many examples here but shida yenu ni kwamba hamtaki kuona kitu kimepangika kiustarabu. Mkiona hivyo mnasema ni estate. Sasa mimi nashangaa estate ni nini kwani? Isn't it just a residential area?

Below are a few examples za sehemu kuna individual houses sasa sijui hizi pia 'estates’
Haya ni maeneo ya Utawala, Ruai na Syokimau kule Eastlands. Most people here wamejinunulia ardhi na kujenga nyumba zao
View attachment 1796326View attachment 1796327View attachment 1796329View attachment 1796330View attachment 1796331View attachment 1796332View attachment 1796333
Sasa ile asilimia 70 wanaishi wapi????
 

711 is Back , I hope NHC place too at Victoria

IMG_7763.jpg
 
Kwn mnapoambiwa nairobi ni km london km mambele huaga mnawaza nini, kw taarifa yako bei ya kiwanja westlands utajiri wa diamond
Ndo maana wengi wenu mnakaa mukuru kayaba na dandora..70% ya wakenya wanakaa katika slum..
Asante kwa kututhibitishia
 
Huna house ndo maana hujui thamani ya house,unafananisha house na car?!..are you okay upstairs??!
The concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.

Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? 🤣 🤣 🤣

 
Soma comment yangu vizuri utakuta neno flani nimeliweka kwenye mabano nadhani utakua umenielewa

Alafu mbona mnapenda kumshadadia dangote sna na wakati yule mzee ni mpigaji tu wala hana lolote
Dangote hana lolote????...kuna mkunya yoyote anaweza kuukaribia utajiri wake??..huyo mtu tu wa USD 1 bill Kenya hakuna,halafu unamletea dharau dangote,jifunze kuheshimu watu boya wewe
 
Back
Top Bottom