Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huoni imeandikwa Dar? Tuambie ni wapi. Mimi siishi uswazini nipajue ni wapi
Is this tanzania ??👇👇🤣🤣 hebu niambie kibera iko tanzania
B2BE866F-4E28-4891-9A7F-C070F703EC3A.jpeg
 
German chancellor Angela Markel pays visit to kenya to negotiate deal about expansion of Volks Wagen Plant in Thika
angela markel.jpg
 
So ww ukiona gorofa basi appartments?? Zingine ni hotel zingine ni office building zingine ni international buildings like UN etc ww hutumii akili ama ?? 🤣🤣🤣 au unajiskia vibaya kuambia masaki inaukubwa sawa na mombasa
Office buildings in residential areas? 😂 😂 😂
Alafu hiyo ni ofisi gani ya UN iko Dar? Tangu lini? There's only one UN office in Africa na inapatikana Nairobi
 
Office buildings in residential areas? 😂 😂 😂
Alafu hiyo ni ofisi gani ya UN iko Dar? Tangu lini? There's only one UN office in Africa na inapatikana Nairobi
Tatizo lenu nyinyi ni washamba sana niliwaambia maisha ya huku hamuyawezi ndio maana huwez pata slum, mzungu mwenyewe kahangaika hakupata hio slum
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
4E53D3DC-FED7-4B2F-94D3-836EF4B47128.jpeg
 
Stop beating around the bush na vijisababu. We all know Dar has dreamhouses kushoto kulia, wacha kufanya hamnazo
🤣🤣🤣🤣 umekasirika sasa kisa nimekupa bakora mzungu katumia technology inaona mpaka chupi ulioanika kwenye kamba na hakupata slum uje uone ww kiazi😁
 
So nyie ndio mliotoa pesa za ujenzi au sio na kwamba nyie ndio mliopendekeza aina ya ujenzi au sio, safi sana
Baada ya wakenya kuwasuta kw mda sasa ndio limewaingia akilini sasa
Uzinduzi ulibuma mara kadha wala hakukua na fence
 
rais wa India, Narenda Modi azuru kenya kuhusu upanuzi wa viwanda ya kutengeneza madawa. sisi tumezoea kupokea wageni mashuhuri, yote kwa ajili tu ya miradi
narendra.jpg
narenda modi.jpg
 
Wamiba pesa, wameiba ardhi, wameiba majumba 🤣🤣🤣🤣🤣 alaf yupo mkenya anashangilia nyumba ya urithi ushagoo
 
Back
Top Bottom