canter to daladala


wamenishinda tabiaa inawezekana kwao watu pia ni mizigoKwani umesahau omba omba nchini Kenya ni dungu na dada zako kutoka Tanzania?ndiyo mkenya hapo ni omba imba tu,,,,wakenya wengi huishia kwenye uchokoraa
Huoni venye Ni takataka ukizoom😂😂Kwani hzi ni nini??🤣🤣👇👇👇 View attachment 1797638View attachment 1797640
Unajua siwaelewi. Tukileta picha za gated communities, hamzitaki. Mnaziita 'estates'. Tukileta picha za apartments, hamzitaki mnaziita 'estates'. Tukileta picha za nyuma moja moja hamzitaki, bado mnasema ni estates. Hivi, mnaelewa neno estate maanake nini? Ama unataka tulete picha za uswazi ndio muone tuko sawa nanyi? Hili swala la residentials hamuweziguza Nairobi hata chembe.ha haa ona sasa mlivyo rush,tukiwaambia kuwa nairobi bado ,inabidi mkazane mjenge ili muifikie dar mnaanza kubwabwaja...
na isitoshe umerudi kule kule kupost baadhi ya vimin estate...
pambaneni hiyo city yenu bado sana
Unajifariji na mijitu isiyojielewa miaka 9 iliyopitaUnajua siwaelewi. Tukileta picha za gated communities, hamzitaki. Mnaziita 'estates'. Tukileta picha za apartments, hamzitaki mnaziita 'estates'. Tukileta picha za nyuma moja moja hamzitaki, bado mnasema ni estates. Hivi, mnaelewa neno estate maanake nini? Ama unataka tulete picha za uswazi ndio muone tuko sawa nanyi? Hili swala la residentials hamuweziguza Nairobi hata chembe.
Wenzako walishakubali kitambo sana sasa wewe endelea kujipa matumaini pasipo matumaini
👇👇👇👇👇😀😀😀
View attachment 1797805View attachment 1797807View attachment 1797808View attachment 1797809View attachment 1797811View attachment 1797813View attachment 1797814View attachment 1797816
Hiyo ndio akili ya kitanzania. Eti mtu anakejeli Runda wakati Tanzania nzima huwezipata sehemu kama Runda ama MuthaigaYani mtu anakuambia Ruai iko poa kushinda Runda Kisa aliyejenga Ruai alisimamia mjengo mwenyewe wakati in Real sense, wenye pesa hawasimamii mijengo Yao Sana. 😂😂😂
Mtu akiongea ukweli anabandikwa majina. Kuna wenzunu mmewapokonya hadi uraia wao hapa jf kisa wanasema ukweli. Why do you guys think that people must subscribe to your skewed ways of looking at things? Ndani ya hizo miaka tisa ni nini kimebadilika Dar coz uswazi wenu bado ni ile ileUnaji
Unajifariji na mijitu isiyojielewa miaka 9 iliyopita
huo uraia wa kuwa wa Tz uliwapa wewe.....?Kwani umesahau omba omba nchini Kenya ni dungu na dada zako kutoka Tanzania?
hivi hivyo viuchafu wa aerial view ya nyumba 15 zilizopo jagwani nazo unaziita nyumba ,,,,huoni hata haibu,,,Unajua siwaelewi. Tukileta picha za gated communities, hamzitaki. Mnaziita 'estates'. Tukileta picha za apartments, hamzitaki mnaziita 'estates'. Tukileta picha za nyuma moja moja hamzitaki, bado mnasema ni estates. Hivi, mnaelewa neno estate maanake nini? Ama unataka tulete picha za uswazi ndio muone tuko sawa nanyi? Hili swala la residentials hamuweziguza Nairobi hata chembe.
Wenzako walishakubali kitambo sana sasa wewe endelea kujipa matumaini pasipo matumaini
View attachment 1797805View attachment 1797807View attachment 1797808View attachment 1797809View attachment 1797811View attachment 1797813View attachment 1797814View attachment 1797816
Jifunze neno estate inamaanisha nini ndio uje na povu zako. Swala la residentials itawachukua miaka mingi sana kufikia Nairobi jinsi watanzania wenzako umeona wakikariri hapo juu.hivi hivyo viuchafu wa aerial view ya nyumba 15 zilizopo jagwani nazo unaziita nyumba ,,,,huoni hata haibu,,,
mbona estate unaleta aerial view zaidi ya nyumba 10 kulikoni huo upande wa pili....?
Unakataa wenzako?😂 😂 😂 😂huo uraia wa kuwa wa Tz uliwapa wewe.....?
Ngumu kumeza sioha haaaa ,,,
eti upo dada,,,chokoraa leo umekosea njia
Kwn seali langu linasemajeKwahiyo hapa co Kenya nikuletee link?![]()



Ziliinuliwa lini hzo nguzo na ni wapiKwahiyo mliziinua nguzo ili kuzuia maafa mengine au sio failed state![]()


Hakuna uswazi hapo ndio manake si dar


Uswazi hpa duniani kw cities unaoatikana only in dar, hata wakipinga vipiIt's not their first time wao kukana picha za Dar. Wamekana picha za Dar hapa nyingi sana. Hata hii hapa wangekana tu tatizo ni kwamba BRT inaonekana so hawawezi
View attachment 1797617