Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shinzo Abe, japanese president seals another multi billion dollar deal with uhuru kenyatta in nairobi, prior to the just newly opened LAPSSET port project in Lamu, kenyaView attachment 1797508
Huyu hata leo akiambiwa aje awekeze Bagamoyo port fasta anaachana na upuuzi wa Lamu port, ila hayo ma white elephant [emoji208] tumewaachia nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Karibu mgeni, karibu sana, ila omba muongozo toka kwa wakunya wenzio wakuambie kwamba hii ni Tz mpya co ile ya 90[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa tunaongelea Tz iliyochukua nafasi yake ya kuwa hub of EA in everything dhidi ya Kenya iliyojifia kifo cha mende [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Soon utanyooka tu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Dangite ni mpigaji aisee[emoji1787][emoji1787]tangu mbele tanzania ni shamba la bibi, mumeshazoea kuliwa kw kutumia jina wawekezaji
 
Wakenya ona elimu ilivyotusaidia Watz now tunai fence hii reli bora na ya mfano hapa Afrika na duniani kwa ujumla, onaa

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781][emoji706][emoji90][emoji117][emoji1664][emoji86][emoji529]View attachment 1797497
Baada ya kuoewa lecture jf na wakenya ndio sasa mna fence[emoji1787][emoji1787]
2yrs later kutokana na uzinduzi kubuma mara kadhaa
 
uhuru and putin agree on bilateral matters. a deal sealed! NB: magufuli alikufa kwa ofisi bila kutoka nje!😆😆
putin and kenyatta.jpg
putin and uhuru.jpg
 
Baada ya kuoewa lecture jf na wakenya ndio sasa mna fence[emoji1787][emoji1787]
2yrs later kutokana na uzinduzi kubuma mara kadhaa
So nyie ndio mliotoa pesa za ujenzi au sio na kwamba nyie ndio mliopendekeza aina ya ujenzi au sio, safi sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Baada ya kuoewa lecture jf na wakenya ndio sasa mna fence[emoji1787][emoji1787]
2yrs later kutokana na uzinduzi kubuma mara kadhaa
Hawa ndio watufundishe cc ku fence SGR eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wameshindwa hata kujua vipimo vya twiga eti waje watufundishe cc kulinda watu na wanyama [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji3545][emoji529]
Screenshot_20210525-220351.jpg
Screenshot_20210525-220328.jpg
 
Hawa wanyama wanatokea Tz, ss wameenda failed state wameuwawa kwa ukosefu wa akili wa Wakenya, ona failed state ilivyo na maajabu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210525-220351.jpg
 
hizi Body za maBus zenu zote, Oil tankers, na maTrailer.... zooote ni 'made in kenya!'
Siku hzi yutong, zongtong, benz, sunlong zinatengezewa kenya ?? 🤣🤣🤣 hii dunia kweli inazunguka jamani
 
hahaa hapa tu.. tayar tushawapiga tatu bila kama za simba vs kaizer chief.. bado kipindi cha pili [emoji91]
View attachment 1797492
Kipindi cha pili tunakuja kuwauwa na JNHP, Mv Mwanza Hapa kazi tu, New planes including cargo plane, BRT phase 2 & 3, EACOP[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Trump invites Uhuru to Whitehouse. he was the only president from africa to set foot into the whitehouse, not even once, but twice to strike a deal about, Millitary support and Nairobi Expressway project.. alafu kuna kamutu hapa kanakuja kuniambia kuhusu dangote... dangote nnn!?.. dangote manyoa..
trump and uhuru.jpg
trump and kenyatta.jpg
 
Back
Top Bottom