hio ushoga wako peleka Temeke ama MikocheniKama umeumia sema tupake mate![]()
Ni wapi nimetaja Mikocheni kwa post yangu kijana wa Tandale? Masaki imekuwa Mikocheni? Ama umelewa?Hebu tuoneshe hzo appartment za mikocheni manake mm sizioni ?? Alaf nani alikwambia hapo ni mikocheni au umeshaanza kuchanganya dawa 🤣🤣🤣🤣
Ni nini sijui? Kwa hivyo unasema huoni apartments kwenye hizi picha? Ama hapa si Masaki?Kama hujui bora unyamaze mzee ,
Onesha sasa appartments hapo🤣🤣👇👇 masaki ni kubwa sawa na mombasa yote kila siku hua nakwambia weweNi nini sijui? Kwa hivyo unasema huoni apartments kwenye hizi picha? Ama hapa si Masaki?View attachment 1797558View attachment 1797561
Miradi inajengewa juu ya mbingu ama?🤣🤣hata Theresa May wa uingereza alifanya kuzuru kenya, mambo na miradi tu..View attachment 1797560View attachment 1797569
Kwenye hizo dreamhouses zenu mtu huanika manguo wapi? Afadhali hao wa Pipeline have a place for that. Je hawa wenu?Itakua kuna shida ya maji sana ndio maana watu karibia wote wanafua siku moja na sehemu ya kuanika walisahau kwenye design ya ujenzi
Nitajie hilo eneo linaitwaje na siku ukintajia basi ujue utanichukia kabisa 🤣🤣🤣🤣Kwenye hizo dreamhouses zenu mtu huanika manguo wapi? Afadhali hao wa Pipeline have a place for that. He hawa wenu?View attachment 1797571
Kwa watanzania wote kwenye huu Uzi, ujinga wako haina kipimo! Ni macho huna ama maana ya neno apartment ndio hujui? Ama ni ubishi tu kama ilivyo desturi yako? Or are you just plain stupid? Which one are you?Onesha sasa appartments hapo🤣🤣👇👇 masaki ni kubwa sawa na mombasa yote kila siku hua nakwambia weweView attachment 1797565View attachment 1797567View attachment 1797568
Nitajie hilo eneo linaitwaje na siku ukintajia basi ujue utanichukia kabisa 🤣🤣🤣🤣
Ni wapi ?? Tabata, tandale, magomeni au ni wapi siku utapata ni sehemu gani tag me na siku hio hutakaa kunisahau maisha 🤣🤣🤣 picha za google slums ya india inaandikwa dar
So ww ukiona gorofa basi appartments?? Zingine ni hotel zingine ni office building zingine ni international buildings like UN etc ww hutumii akili ama ?? 🤣🤣🤣 au unajiskia vibaya kuambia masaki inaukubwa sawa na mombasaKwa watanzania wote kwenye huu Uzi, ujinga wako haina kipimo! Ni macho huna ama maana ya neno apartment ndio hujui? Ama ni ubishi tu kama ilivyo desturi yako? Or are you just plain stupid? Which one are you?
Kwani huoni imeandikwa Dar? Tuambie ni wapi. Mimi siishi uswazini nipajue ni wapiNi wapi ?? Tabata, tandale, magomeni au ni wapi siku utapata ni sehemu gani tag me na siku hio hutakaa kunisahau maisha 🤣🤣🤣 picha za google slums ya india inaandikwa dar