Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siku hizi I chose to ignore their skewed ways of looking at things coz I know it won't change obvious and screaming facts. Ni wabishi tu naturally save for a few of them. Mtu kama Tuusan you can have a very good conversation with but most of them are just stupid
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwasababu wanakupa ukweli na facts, hamupendi ukweli nyinyi munapenda kusifiwa uongo
 
I always say that ujamaa ulilemaza hawa watu big time. Yani they believe that mtu hawezi akajituma aboreshe maisha yake kivyake. Yani wenzako wakiwa maskini, wewe pia utakuwa tu moja wao coz huwezijituma. Wao wanashangaa kuona such big real estates being owned by individuals jambo ambalo ujamaa haikuruhusu. Charles Njinjo is a renowned businessman. Sasa akijituma aongeze angalau shilingi mia kwenye kapu lake kuna shida gani? Why must somebody take offence for his reaches wakati hakuzuia mtu yeyote kujituma na kujiendeleza?

Hamna tatizo ndio maana familia ya kenyatta na moi na wazungu kama delamere wanamiliki ma hectares nyinyi mpo tuu kimya
 
Unaoongea kuhusu mabweni wakati hizo hizo mabweni zimejaa mtaa wenu wa kifahari kuliko zote Masaki where you would expect to find decent houses. Nyinyi walalahoi mnasukuma gurudumu la maisha kwa shanties christened as dreamhouses alafu unadiss apartments wakati mabwenyenye wenu wanaishi kwenye hizo apartments kule Masaki!!! How funny!
Zimejaa zikwapi hebu tuoneshe unless masaki huijui wewe 🤣🤣🤣 nilikwambia masaki ni kubwa sawa na mombasa nzima sasa ndio ushangae hapo
 
Hamna tatizo ndio maana familia ya kenyatta na moi na wazungu kama delamere wanamiliki ma hectares nyinyi mpo tuu kimya
Wanashangilia kuona misitu hawajui ni mali za watu wamekaa kimya 🤣🤣🤣 na kama wanabisha waambie wavamie waone
 
Hata SA kuna slums na bado mtaionea paa ile nchi.... Sio leo wala kesho kuwafikia wale, and that's a fact Tanzanians! 🤣 🤣 🤣
Ni kweli kuna slum lakini kenya kuna slums kuna tofaut hapo 🤣🤣🤣 na bahat nzuri nyinyi ndio mumeshika uongozi africa
EE95707C-4076-47F3-B053-AD388072FBEF.jpeg
 
Mabweni yaliyo mjini, mabweni ya bei ya juu. Na bado watu wanaishi na kulipa bila tatizo. Usijaribu kujifananisha na mtu ka huyu hata siku moja. Yeye anafanya yote na bado ana survive mjini, wewe ulie nje ya mji na kajumba kako ka vyumba vitatu,not even well furnished, unaeza fanana naye? La hasha, hutomfikia, yeye pesa ishamzoea, kuishi hivyo sio kazi kwake? Ka rent wewe sasa huko Dar uptown! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

Tatizo la kula githeri kila siku ni kupungukiwa na akili na ndilo unalo
 
Leo nataka nitoe mfano kidogo ila wakenya mnapaswa kujibu msikimbie kimbie,,ni hivi kwa hapa Dar tunatumia aina mbili zote za aina ya ujenzi wa makazi tukijumuisha estate na ujenzi houses moja moja kwa individual,,,

ila hatuna estate nyingi kiivyo ila kwa upande wa individual houses mmoja mmoja ni nyingi sana kuliko estate i hope hata nairobi itakuwa ni hivyo hivyo sema mnachofanya ni kuruka ruka na kukwepa upande wa individual houses ,,,,sababu kiuhalisia hizo estate mnazokazana kupost hapa haziwezi kuhifadhi idadi ya watu wote wanaoishi nairobi,,,,
swali la msingi je individual houses mbali na estate kwa nairobi mbona hamzipost..?,,dayle mnakazana na runda estate n.k,,

hapo chini ni mfano wa baadhi ya estste na nyumba zinazomilikiwa na mtu mmoja mmoja na nyie mtuinyeshe tuone
FB_IMG_1621860652924.jpg
FB_IMG_1621860636287.jpg
FB_IMG_1621860612692.jpg
images (14).jpg
images (13).jpg
images (12).jpg
images (11).jpg
images (10).jpg
images (9).jpg
images (8).jpg
images (7).jpg
images (6).jpg
images (5).jpg
images (4).jpg
 
Unaoongea kuhusu mabweni wakati hizo hizo mabweni zimejaa mtaa wenu wa kifahari kuliko zote Masaki where you would expect to find decent houses. Nyinyi walalahoi mnasukuma gurudumu la maisha kwa shanties christened as dreamhouses alafu unadiss apartments wakati mabwenyenye wenu wanaishi kwenye hizo apartments kule Masaki!!! How funny!

Acha kukariri mzee apartments masaki ni chache sana compared na individual houses
 
Sasa kwa sababu hakuna mtanzania hata moja anayemiliki hata chembe cha hizo estates, tuliza kende na uzoee maisha ya dreamhouse yako hapo Dar
duuuuhhh!!! kweli we nguruwe,
tuachane na hayo hebu tupostie hapa mifumo miwili ya ujenzi ikiwemo nyumba zilizopo kwenye mfumo wa estate na nyumba ambazo hazipo kwenye mfumo wa estate ili tujionee yalimo huko maana nazawadi yako hapa
 
je mbali na estate unaweza jaribu kupost individual houses kama hizi...?,,

tunahitaji utuonyeshe tuweze kuziona kea huko nairobi ikojeView attachment 1796235
Wacha nikuelimishe kidogo. In Nairobi, most houses ni apartments. Hakuna mahali utaenda nairobi ukokosa apartments kando na mitaa za kifahari. Hizo apartments unaona kuna zile ambazo zinajengwa kwa minajili ya kuuza na watu hizinunua sana. Ama mtu akinunua nyumba kwenye apartment si homeowner? It happens even in the US.

Secondly, nyumba za chini kama hizo ulizopost pia zimejaa Nairobi. And just like apartments, hizi pia kuna zenye zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi. Kuna pia watu ambao wanajinunulia plot na kujenga wenyewe from scratch. We've given you so many examples here but shida yenu ni kwamba hamtaki kuona kitu kimepangika kiustarabu. Mkiona hivyo mnasema ni estate. Sasa mimi nashangaa estate ni nini kwani? Isn't it just a residential area?

Below are a few examples za sehemu kuna individual houses sasa sijui hizi pia 'estates’
Haya ni maeneo ya Utawala, Ruai na Syokimau kule Eastlands. Most people here wamejinunulia ardhi na kujenga nyumba zao
Screenshot_20210524-165219~2.png
Screenshot_20210524-165026~2.png
Screenshot_20210524-164953~2.png
Screenshot_20210524-164927~2.png
Screenshot_20210524-164906~2.png
Screenshot_20210524-164821~2.png
Screenshot_20210524-164742~2.png
 
Wacha nikuelimishe kidogo. In Nairobi, most houses ni apartments. Hakuna mahali utaenda nairobi ukokosa apartments kando na mitaa za kifahari. Hizo apartments unaona kuna zile ambazo zinajengwa kwa minajili ya kuuza na watu hizinunua sana. Ama mtu akinunua nyumba kwenye apartment si homeowner? It happens even in the US.

Secondly, nyumba za chini kama hizo ulizopost pia zimejaa Nairobi. And just like apartments, hizi pia kuna zenye zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi. Kuna pia watu ambao wanajinunulia plot na kujenga wenyewe from scratch. We've given you so many examples here but shida yenu ni kwamba hamtaki kuona kitu kimepangika kiustarabu. Mkiona hivyo mnasema ni estate. Sasa mimi nashangaa estate ni nini kwani? Isn't it just a residential area?

Below are a few examples za sehemu kuna individual houses sasa sijui hizi pia 'estates’
Haya ni maeneo ya Utawala, Ruai na Syokimau kule Eastlands. Most people here wamejinunulia ardhi na kujenga nyumba zao
View attachment 1796326View attachment 1796327View attachment 1796329View attachment 1796330View attachment 1796331View attachment 1796332View attachment 1796333
duuuuhhh!!! kweli we nguruwe,
tuachane na hayo hebu tupostie hapa mifumo miwili ya ujenzi ikiwemo nyumba zilizopo kwenye mfumo wa estate na nyumba ambazo hazipo kwenye mfumo wa estate ili tujionee yalimo huko maana nazawadi yako hapa
 
Acha kukariri mzee apartments masaki ni chache sana compared na individual houses
Hizi apartments ni chache??!?
images(141).jpg
Screenshot_20210524-171803~2.png

Na zinafanya nini kwenye mtaa wenu wa kifahari kama si za mabwenyenye wenu kuishi? Sasa kama mabwenyenye wenu ndio wanaishi kwenye apartment kule Masaki sasa wewe mkazi wa Gongo la Mboto uswazini unatoa wapi nguvu ya kudiss apartment?
 
Back
Top Bottom