Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania total area is 945,087 km²
Population tanzania is 60m

kenya total area is 580,367 km²
Population kenya is 55m

naomba tutumie hesabu za dukani sio za kiuchumi, naomba tutumie basi mathematics and not pure mathematics [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyingine hio chupa ya coca ndani sprite🤣👇 kibera imehamishwa dar
View attachment 1797615
Hapa Ni wapi😂😂😂watasema picture Ni ya 2000😂😂
Dar is slum
images - 2020-05-28T184939.536.jpeg
 
I mara ngapi mmekana picha za Dar? Ama unadhani hatuwajui kwa kukana picha za Dar? Unajifanya hujui unapoishi jombaa
View attachment 1797613
Haiwezi na haitowahi kutokea Tz kuwa na slums, kwanza eneo la nchi yetu ni kubwa sana kulinganisha na idadi tuliopo, hiyo Dar tu ambayo ukilinganisha na mikoa mingine ni ndogo sana lkn bado kuna maeneo kibao hayana watu so haitawahi kutokea Watz wakarundikana kasehemu kadogo hivyo namna hiyo, so rudisha hiyo picha kwa wenyewe, hakunaga mazingira ya hivyo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wana slums nyingi hadi zingine wanazigawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Nairobi pekee slum ziko 40 na kitu!
 
Haiwezi na haitowahi kutokea Tz kuwa na slums, kwanza eneo la nchi yetu ni kubwa sana kulinganisha na idadi tuliopo, hiyo Dar tu ambayo ukilinganisha na mikoa mingine ni ndogo sana lkn bado kuna maeneo kibao hayana watu so haitawahi kutokea Watz wakarundikana kasehemu kadogo hivyo namna hiyo, so rudisha hiyo picha kwa wenyewe, hakunaga mazingira ya hivyo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Of course hamna slums. All you got are dream houses like the ones below
images(129).jpg
 
Kwn sisi hatujui uswazi panakaaje sio[emoji1787][emoji1787]hyo picha imeandikwa dar lkn ukiingalia ya india sio
Uswazi si huku au hutaki, kwa jinsi nnavyojua life lenu basi mtakataa mtasema huku wanaishi matajiri[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20210523_154716_159.jpg
IMG_20210523_154819_366.jpg
IMG_20210523_154129_820.jpg
IMG_20210523_153353_029.jpg
IMG_20210523_154705_966.jpg
IMG_20210523_181918_286.jpg
IMG_20210523_154723_834.jpg
IMG_20210523_153417_763.jpg
IMG_20210523_181924_827.jpg
Screenshot_20210517-235039.jpg
Screenshot_20210517-235121.jpg
IMG_20210515_100705_476.jpg
IMG_20210514_212046_982.jpg
 
Pori gani hilo au mbuga gani[emoji1787][emoji1787] kabla na baada ya huo mkasa walioita wangapi hapo wakafa tena..tueleze injinia wa tz umeme
Kwahiyo mliziinua nguzo ili kuzuia maafa mengine au sio failed state [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
I mara ngapi mmekana picha za Dar? Ama unadhani hatuwajui kwa kukana picha za Dar? Unajifanya hujui unapoishi jombaa
View attachment 1797613
Nikisema mm hua wananichukia bure 🤣🤣🤣👇👇👇 mzungu hawezi kua kichaa hata siku moja aone slum za dunia nzima asione ya dar haitatokea mpaka dunia inasmama👇👇👇👇

129E68D9-AA2F-42BB-B8A3-401AA5E3D294.jpeg

Baada ya kuzoom na hio ni morogoro road wacha tuzoom tupate clear picture 🤣🤣🤣👇👇👇👇 mzungu hawezi kua mjinga
View attachment 1797622View attachment 1797625View attachment 1797628
Si unaona ulivyo mjinga? Hiyo picha nilileta ni ya barabara? Kwa hiyo picha yote kitu umeona tu ni hao kabarabara barabara pembezoni mwa picha? Mbona hutaki kuzoom hiyo picha yenyewe yenye nimetuma ambayo inaonyesha dreamhouses na sio barabara? Skewed reasoning and mindset!

Barabara hata kibera slum iko nazo and we can zoom them too
images(142).jpg
images(143).jpg
5a8d74368350cdcf837dd35216366eff.jpg
 
Back
Top Bottom